Orodha ya CUF ya Viti Maalum vya Ubunge

Source:- Nipashe
1. Amina Mohamed Mwidaa - TANGA
2. Riziki Omar Juma - PEMBA
3. Kuruthumu Jumanne Mchuchuli - RIFIJI
4. Thuwayba Idris Muhamed - UNGUJA - Zanzibar
5. Mkiwa Adam Kiwanga - MWANZA
6. Rukia Kassim Ahmed - CHAKE CHAKE - PEMBA
7. Moza Abed Saidy - KONDOA - DODOMA
8. CLARA DIANA MWOTUKA - MASASI - MTWARA

Nawachia mjimwage maana kuna maneno mengi yamesemwa kwa wateule wa CHADEMA na CCM.

Kuhusu # 8 mojawapo kati ya haya matatu ni sahihi:
1. Amebadili au amekubali kubadili dini
2. Ameolewa au anamchumbiwa nao
3. CUF waliamua kujikosha kinafki
 
CUF ni chama cha KIDINI YA KIISLAM ,ANGALIA MWENYEWE KATIKA MAJINA HAYA SABA NI WAISLAM NA MMOJA NI MKRISTU.

Wale 24 wa Zenji nao? Hawa wawili wa bara nao? CUF wanatakiwa wajiangalie kwa upana. That means CUF wana mbunge mmoja tu asiyekuwa mwislamu...! Hatari hii!
 
Kuhusu # 8 mojawapo kati ya haya matatu ni sahihi:
1. Amebadili au amekubali kubadili dini
2. Ameolewa au anamchumbiwa nao
3. CUF waliamua kujikosha kinafki

Namba 3 si sahihi kabisa huyu ni lazima ameslim, ama anamahusiano ya kimapenzi na Mashekhe!
 
CUF si chadema ambayo majina ya wabunge wa viti maalumu wapo nyumbani kwa wabunge mfano Lucy and Grace kihwelu (Ndesa's family), christina lissu etc. we umewahi kuona Seif akiteua ndugu yake? Lipumba je? what about Jussa? etc, hiyo ndo CUF. Hamna undugulization kama ilivyo kwa chadema.
If that is the case lazima CUF itachukuwa muda kuwapata watu makini na si kukurupuka tu.
Hiyo ndo sifa ya chama makini.
see you next time.
 
Kisiwa kidogo cha pemba hadi usawa huu kinahudumiwa na wabunge + Wawakilishi zaidi ya 40, Equivalent wa wabunge wote wa chadema nchi nzima.
 
Wana JF,

Mi nadhani hoja ya msingi JE wana sifa za kuwa wabunge? elimu zao? uzoefu wa kiutendaji? uwezo wa kuchambua na kujenga hoja?
Inawezekana walio wengi waliojitokeza kugombea nafasi hizi ni wwaislamu na CUF inaungwa mkono sana sehemu zenye waislamu kama Tanga, Mtwara, Lindi, kondoa na Zanzibar labda hao ndo waliopo na waliojitokeza kuomba nafasi hizo.

Kama kuna mwanamama ambae ni mkristo na anauwezo na elimu nzuri akatoswa then hapo tutakuwa na hoja ya kuwa challenge CUF, hivyo wenye taarifa ya wanachama wa CUF wenye imani ya ki kristo na elimu nzuri na wakatoswa then tuna haki ya kuwashambulia CUF, lakini kama hakuna then tunahitaji kufanya uchunguzi na kulielewa hilo swala kwa undani kabla hatuja anza kuwa shutumu.

Ni mtazamo tu ndugu zangu, labda mimi siwajui CUF vizuri na kuna watu wana taarifa za uhakika basi watufahamishe vyema kwa ushahidi.
 
CUF ni zaidi ya wewe uijuavyo! Ni chama chenye sera za kidini check hata viongozi wao wa juu.
 
Hiyo Red unamaanisha nini? Udini au? Me am out!!

hayo mambo ya kizamani na yanarudisha nyuma maendeleo kuna vitu vya kujadili sio hivi jamani kuweni wastaarabu na kuheshimu dini za watu sio sababu kutia rangi nyekundu jina la dini fulani kitendo hicho kinaweza kikawa na tafsiri zaidi ya mia moja.. Tuchunge sana mambo tunayofanya.
 
CUF ni zaidi ya wewe uijuavyo! Ni chama chenye sera za kidini check hata viongozi wao wa juu.

Jitokeze wewe mwenye dini tofauti ukaongoze tuone kama kweli una vigezo wakakukataa na sababu wakaitoa ni dini yako. Kuweni na heshima na dini za wenzenu hii si sawa hata kidogo.
 
CUF sina vigezo hata wewe unajua!
 
Mimi ni Mwislam namheshim Mkristo nimesoma na Mkristo, nianishi kwenye nyumba ya kupanga na Mkristo nafanya kazi na Mkristo JF na Chama cha Siasa haitakuwa sababu ya kuwa na chuki na Mtanzania mwenzangu mwenye tofauti ya dini nami.
 
Nahisi cuf walitoa nafasi za viti maalum kwa kuangali ushindi ktk mikoa ndio ukaona pemba wamepewa wawili, unguja mmoja, tanga mjini mmoja madiwani 11 wa cuf nk. Ukiangalia tu hapo utajua kua ni sahihi viti maalum cuf kuwa na waislam wengi kwani pemba hakuna mkristo hata mmoja, unguja pia hakuna mkristo for aproximation, tanga pia wakristo ni wa kutafuta ok?
 
Jitokeze wewe mwenye dini tofauti ukaongoze tuone kama kweli una vigezo wakakukataa na sababu wakaitoa ni dini yako. Kuweni na heshima na dini za wenzenu hii si sawa hata kidogo.

CUF+CCM=KUUA UPINZANI=UDINI=UISLAMU

Halafu munataka Chadema tuungane nao?

Aaaaaa jamani.

Acheni masikhara bwana
 
Mimi ni Mwislam namheshim Mkristo nimesoma na Mkristo, nianishi kwenye nyumba ya kupanga na Mkristo nafanya kazi na Mkristo JF na Chama cha Siasa haitakuwa sababu ya kuwa na chuki na Mtanzania mwenzangu mwenye tofauti ya dini nami.

Sidhani kama kuna ukweli kwenye bandiko lako! Nimefatilia posts zako zimejaa chuki na udini. Rafiki mnapeleka taifa kubaya. Hamuangalii tena qualification bila kigezo cha dini. Inanikera sana, enzi za Mwalimu haikuwa hivi.
 
Mimi sikujibu maana nimejiuliza kwanini inakuwa hivi? mbona nina marafiki wengi wakristo nimesoma nao na kwao wananiona mimi kama ndugu yao? then nimejirudi nikaona sina sababu ya kumchukia Mkristo kwani ni Mtanzania mwenzangu nimesoma nae na tunaishi nao kila siku, kwenye madaladala na foleni zetu wote tupo pamoja hakuna cha mwislam wala mkristo na ugumu wa maisha wote tunauona.................. So I have no one kwa dini yake.
 
Back
Top Bottom