Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

nataka mjue kwamba zitatekelezeka tena bila wasiwasi,wapinzani kazi yenu ni kelele tu hamana hoja ya msingi,tukizungumzia maendeleo sio kitu cha kufumba na kufumbua ....naomba mlijue hilo, SLAA JAPO WEWE NI KIJAKAZI WA CHADEMA , coz najua wewe ni mtu wa YES na NO ndani ya CHADEMA, unadanganya wananchi kwa kujivalisha ngozi ya ufisadi wakati ndani ya chadema wewe ni YES na NO, ulipoambiwa uwafukeze wale vijana wawili KAFULILA NA MWENZAKE ulitekeleza bila kupinga

SLAA WAAMBIE WANANCHI NA WANACHADEMA WENZIO KILICHOKUFANYA UKAMUACHA MKEO....................sitanii najua A 2 Z yako katika chadema ,toa SERA ZA CHAMA CHAKO NA SIO UNAPIGA POROJO ZA UFISADI,AMBAZO NDANI YA CCM ZIMEANZA KUSHUGHULIKIWA NA ZITAENDELEA KUSHUGHULIKIWA mpaka kitaeleweka.

CCM inasera zinazotekelezeka sio kwa porojo za maneno BALI KWA VITENDO. hili amelithibitisha kijana wako ZITTO KWABWE NDANI YA BUNGE LILILOKWISHA ,akimsifia MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWAMBA NI MTU MUUNGWANA..., AU BADO SLAA UNAPINGA NA HILO? wapinzani mtaelimika lini? kuachana na SERA ZA CHUKI? NA UKABILA, nasema ukabila kwa nguvu zote kwani jinsi mbinu ya kummaliza ZITTO KABWE ilivyotengenezwa sio ya kitoto...... inatisha ! KAMA NA HILO CHADEMA MNABISHA BISHENI LAKINI UKWELI NDIO HUO.

Karibu JF njuka.....halafu utuambie umelipwa shilingui ngapi kuweka bango lako hapa?
 
JK Kuendelea kutoa ahadi.."wapinzani tafuteni sera mpya.Kampeni zitakuwa ngumu kwenu.""

Hata Sofia Simba hapa chini anakubaliana nawewe:

vicky.jpg
 
Kazi mnayo brothers.Ila habari ndo hiyo!!!
Ahadi gani za ulimbukeni? kwani zimeanza leo toka enzi za Nyerere kila mwaka zinatolewa Kikwete anafanya marudio tu tumeshawazoea siye haitupi tabu. Amekupata wewe unayeahidiwa meli na kukubali, kivuko chenyewe cha kilombero kashindwa, kweli wajinga ndio waliwao endelea kusubiri ahadi.
 
..mimi nadhani Chadema nao waanze kutoa ahadi tu.

..kumbuka kwamba muda wanaoutumia kupanga mikakati ya kumuekea pingamizi JK, wangeweza kuutumia kutafuta mbinu za kuwafikia na kuwashawishi wapiga kura wengi zaidi kuichagua Chadema.

..pia message yao ilenge zaidi ktk kuwashawishi wapiga kura kwamba Chadema ndiyo yenye uwezo wa kutimiza ahadi, pamoja na kwamba JK ni fundi zaidi wa kutoa ahadi.
 
"How can I stand on a podium at a campaign rally and remain mum?" by JK (The Citizen, 1/9/10). Nafikiri angesema 'how can I stand and fall down on a podium at a campaign rally and remain mum?'

JK kiboko, kwani hii inaonesha kuwa hakusoma kabisa sheria hii ya gharama za uchaguzi; sasa yanatokea ambayo alidhani yatakuwa kwa upinzani tu. Haya yote ni matokeo ya kutokuwa intelligent enough!!! Je, twaweza wekewa humu hiyo sheria hili tuone jinsi gani John atatenda haki?
 
He is sure that the authorities are always for him, who can be against him...
 
"How can I stand on a podium at a campaign rally and remain mum?" by JK (The Citizen, 1/9/10). Nafikiri angesema 'how can I stand and fall down on a podium at a campaign rally and remain mum?'

JK kiboko, kwani hii inaonesha kuwa hakusoma kabisa sheria hii ya gharama za uchaguzi; sasa yanatokea ambayo alidhani yatakuwa kwa upinzani tu. Haya yote ni matokeo ya kutokuwa intelligent enough!!! Je, twaweza wekewa humu hiyo sheria hili tuone jinsi gani John atatenda haki?


Mkuu nimeattach hou muswada, uko kwenye website ya Bunge.
Jambo linalonishangaza ni kwamba JK kuendelea kutoa ahadi zenye ushawishi wa kuchaguliwa wakati ni kinyume na sheria ni kwamba kaamua kuvunja sheria kwa makusudi au hajui alichotia sahihi??
 

Attachments

  • Election expenses.pdf
    77.8 KB · Views: 77
moja kati ya mambo aliyoahidi JK baada ya kuingia madarakani ni kupitiwa kwa mikataba ya madini. hivi wadau kuna lolote lililotekelezwa kuhusiana na hilo?
 
Back
Top Bottom