Orkesumet m4c (bila picha)

wakuu moto huo nimeupenda unavyo wachoma Wazee wa mabwepande msituni,gambazz safari hii chamoto watakiona,CDM makao makuu mmetusahau huku Kahama-shinyanga tunataka M4C watu wavue magamba wanasema yanawasababishia ukurutu.

Hongereni sana Chadema
 
Nilikua katikati, nimemsalimia AC Mawazo, Lema, na Milya. Simu yangu mbovu maana mngeona wamasai wanavyolia kwasababu ya huyu jamaa (milya) yani, amewaeleza vizuri kimasai, baadae akaja kiswahili.

Watu walirindima, wanafunzi na walimu walitoroka mashuleni, wafanyakazi wa halmashauri waliomba ruksa, na wengine walitoroka, kadi za CCM zimerudishwa, Lema amesema hizo zisichomwe, nape apelekewe akaone maana anakiherehere sana. Kadi za cdm zimegawanywa na milya, watu wanagombania, Lema anasema 'milya acha kwanza watagawiwa baadae maana tunawahi.

kiongozi kakabiziwa na zimeisha tayari. watu wanachukizwa kadi kuisha. nitafatilia nijue walikua na kadi ngapi. Ah, jamaa jimbo kalichukua kabla ya uchaguzi wazee!

wewe ule ule mabadiliko Jamii ya wafugaji ikielewa hairudi nyuma, chezea pengine sio Masaai na Sukuma

Quote =" Hatukubali wazee wa CCM waishi maisha yao, maisha yetu na kukopa maisha ya watoto wetu" Kabwe Zitto
 
Hii inakera siyo utani, inapunguza kasi ya watu kujoin! Binafsi imeniudhi sana ukizingatia tokea April kadi na bendera arusha imekuwa nadra sana.

Ni kweli kabisa jana nimepokea simu Kiwangwa wanataka kadi na bendera inakuwaje?
 
Unajua ni ukweli usiopingika kwa wabunge wa CCM unajua kila mbunge anawasiwasi kama ataweza tena kupata ticket ya kugombea ubunge 2015.

Kwanza kuanzia kwenye kura za maoni ndani ya chama chao na pia kuja kupambana na CHADEMA yaani sema mioyo haiongei ila ukweli nyuso zao zina huo wasi wasi na ndio maana wanatumia kila namna ya kuongea ovyo bungeni ili waonekane wachangiaji vizuri wa bunge.

Masikini wanaonekana vituko tena kwa jamii yaani ule usemi unaniidhirishia kweli kuwa kifo cha nyani miti yote huteleza, kuna kipindi nilirudi likizo bongo jimboni kwetu mbunge huyo ukweli kabisa tulikuwa sehemu tunaongea mambo mbali mbali akasema kabisa kutoka moyoni mwake mambo sio mazuri kabisa so inabdi ajipange ili 2015 ajiandae kisaikolojia kuwa kuna kushindwa na kushinda na ameshaanza mikakati yake mapema kabisa maana wananchi ameshawasahu now.
 
twende kazi vijana!!! 4every single step u make,people are behind ua shadow!!may God give u a breakthrough on ua heavy duties across the country.
 
Nilikua katikati, nimemsalimia AC Mawazo, Lema, na Milya. Simu yangu mbovu maana mngeona wamasai wanavyolia kwasababu ya huyu jamaa (milya) yani, amewaeleza vizuri kimasai, baadae akaja kiswahili.

Watu walirindima, wanafunzi na walimu walitoroka mashuleni, wafanyakazi wa halmashauri waliomba ruksa, na wengine walitoroka, kadi za CCM zimerudishwa, Lema amesema hizo zisichomwe, nape apelekewe akaone maana anakiherehere sana. Kadi za cdm zimegawanywa na milya, watu wanagombania, Lema anasema 'milya acha kwanza watagawiwa baadae maana tunawahi.

kiongozi kakabiziwa na zimeisha tayari. watu wanachukizwa kadi kuisha. nitafatilia nijue walikua na kadi ngapi. Ah, jamaa jimbo kalichukua kabla ya uchaguzi wazee!

Hii mikutano ya CDM haiwezi kutafsiriwa kama ni kampeni za 2015 wakati tume ya uchaguzi haijapiga kipenga? Nadhani wote wanaoandaliwa kama kina Mkumbo, Millya 2015 wakiwekea pingamizi kuwa walianza kampeni toka 2012 itakubalika na wataondolewa kwenye kinyanganyiro cha 2015.
 
Nilikua katikati, nimemsalimia AC Mawazo, Lema, na Milya. Simu yangu mbovu maana mngeona wamasai wanavyolia kwasababu ya huyu jamaa (milya) yani, amewaeleza vizuri kimasai, baadae akaja kiswahili.....!

Japo picha hakuna, Yaliojiri hapa Orkesument ni kweli watu walijitokeza jua lilitatiza kuchukuwa picha. Mkutano ulifana sana viongozi walijipanga katika kutoa hoja.

Ila nawashauri Makamanda pamoja na kuongelea maswala ya kitaifa itapendeza wakigusa kwa kina matatizo ya eneo husika.

Mlinganisho wa Lema wa Trillions na barabara na nyumba kwa MMASAI angewalinganishia na Ngo'mbe wao, Mabwawa ya Maji kwa ajili ya maji ya mifugo yao, majosho na madawa yake. Makamanda angalieni hilo.
 
Tuta waambia maana sasa imekuwa kero kubwa kadi na Bendera watu wanazitafuta kwa udi na uvumba kadi na bendera za chadema kwanini wasi tengeneze za kutosha hawa jui kuwa mwaka 2015 ni cham tawala..

Jaribu kuongea na LEMA au kama inawezekana mwambie KATIBU MKUU juu ya suala hili la vifaa vya chama.Kweli kabisa suala la kadi na bendera lipewe kipaumbele.

VIJANA NGUZO YA CHADEMA.
 
Back
Top Bottom