Orjino Komedi...chuki ni kwa sababu ya CCM?

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Je ni wafuasi CDM ndiyo wanaowachukia hawa vijana? Mi naona kama kiwango chao ni kizuri na ni wabunifu.
Je wewe mtizamo wako ni upi? Tuache siasa!
 
What is this?
Sijaelewa unataka kusema nini hapa au unafanya opinion poll!??!!
 
tatizo lao wanajiona wamefika na wanamadharau flani.Ushauri wangu ni kwamba sasa hivi ni mda wao kuwekeza,wakishajisahau itakuwa ngumu kufanya vizuri kama kipindi kilichopita
 
Mimi siwachukii ila nawaasa waache tabia ya kujikomba kwa wanasiasa.
 
Back
Top Bottom