angedizzle
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 590
- 502
Hakuna Atakaye Bisha Kuwa Kikundi Cha Uchekeshaji Cha Orijino Komedi Kimejizolea Umaarufu Hapa Nchin Pia Walikuwa Wakifanya Vizuri Sana Na Staili Zao Za Kuigiza Viongoz Lakin Tangu Wameamia Kule Kwenye Chanel Ya Baba Ridh Jamaa Wameanza Kushuka Kisanaa Pia Kutoa Segment Ya Kuigiza Nyimbo Za Wasanii Kumechangia Wao Kupoteza Radha Iliyokuwepo.hivi Karibun Kilicho Kuwa Kina Wabeba Ni Ile Sehemu Ya Copy&paste Sasa Naona Kama Haipo.jamaa Wana Vipaji Ila Wajipange Wale Wenzao Wa Jiran Eatv Wana Anza Kuwapiga Bao So Wajipange Warudi Mi Ni No 1 Fan Wao
Bambo na wewe unaingiaga JF????,karibu sana mkuu