Orijino komedi ya Masanja chali, haina mvuto tena

Wakandamizaji bado wako juuuu z yq dunia zaidi ya comedt zote labda mzee majuto acheni majungu
 
Hata Tembo akonde vp hawez kuwa kama swala n' viceversa.Original Comedy wamefulia ndio but bado ni wakali sana ukicompare na Futuhi na Ze comedy(me hawajaniconvice kwakweli).kikund ambacho naona kweli wanachekesha kuliko hata original comedy ni MIZENGWE na kile cha kina majuto ingawa watu wengi hawavifuatilii
ukweli mtupu umesema,
MIZENGWE inaeleméka kuliko hao wengine wote pamoja orijino kufulia hao wengine bado ni very board.
 
Kama sio mdororo wa afya ya Msanii mwenzao, nadhani wangefunga kipindi. Sasa wanahangaika na kuchangisha fedha za Sajuki (maskini kijana wa watu ugonjwa wake umekuwa ni suala la Kitaifa) kila Mtu anataka ajue japo kuna wanaougua wengi ambao nao wangehitaji kuchangiwa na watanzania wenzao. Sajuki amemfunika hata VENGU (JOSEPH SHAMBA) comedian mwanzao ambae haikuwa kusikika Masanja akihamasisha watu kumchangia. Khaaa dunia hii!
 
Ingawa komedi kama wengi tunaona wamefulia,
bt sijui kama utaweza kunishawishi nipoteze muda wangu eatv kuangalia komedy yao, wako nyuma sana ktk fani na mbaya zaidi hawana uwezo wa kuwafikia kina masanja, si futuhi/komedi-eatv, bora hata uniambie vituko show ya mzee majuto,
lakini eatv hakuna ki2,
NA KWA TAARIFA TU ORIJINO KOMEDY NAONA WANA DALILI ZA KURUDI KAMA KAWA
 
Nilipoona wamehamia TBC nikajua kifo chao kimefika ingawa kimechukua muda mrefu. Ilikuwa ni move ya kuwanyamazisha walikuwa wanavutia kwa kuwaiga viongozi wa kitaifa, kuhamia TBC, kushney, kaput!!
 
Aisee kweli akiamungu! Yani taulo kwenye media mtu anavaa bila aibu.
 
Ni maajabu lakini ni kweli wala haihitaji ubishi huyu tembo safari hii amekonda hata sungura kawa mkubwa, Original Commedy RIP. Masanja jichangishie kabisa kabla original commedy haijapotea na kutoweka machoni na masiioni mwa Watanzania.
 
Kama sio mdororo wa afya ya Msanii mwenzao, nadhani wangefunga kipindi. Sasa wanahangaika na kuchangisha fedha za Sajuki (maskini kijana wa watu ugonjwa wake umekuwa ni suala la Kitaifa) kila Mtu anataka ajue japo kuna wanaougua wengi ambao nao wangehitaji kuchangiwa na watanzania wenzao. Sajuki amemfunika hata VENGU (JOSEPH SHAMBA) comedian mwanzao ambae haikuwa kusikika Masanja akihamasisha watu kumchangia. Khaaa dunia hii!

Yule anagharamiwa matibabu na JK hakuwa anahitaji kuchangiwa kama Sajuki
 
Original comedy ni wakali ila wanahitaji kupumzika kujipanga na kurudi na season mpya watu watakuwa na hamu ya kuwaona tena
 
Huwezi kuendesha kipindi kijanja janja kwenye tv ya taifa kama wewe sio mpungufu wa akili; hii ni tv ya taifa kama hakuna jipya sema omba radhi kuwa tutakuwa na marudio; Kama nayo yakizidi simamisha kipindi maana haina maana ujanja wa kijinga. Ndo maana kumbi za starehe watu anaomba kubadilisha station. SEMENI kama limekwama huo ndo uungwana.
 
Hakuna Atakaye Bisha Kuwa Kikundi Cha Uchekeshaji Cha Orijino Komedi Kimejizolea Umaarufu Hapa Nchin Pia Walikuwa Wakifanya Vizuri Sana Na Staili Zao Za Kuigiza Viongoz Lakin Tangu Wameamia Kule Kwenye Chanel Ya Baba Ridh Jamaa Wameanza Kushuka Kisanaa Pia Kutoa Segment Ya Kuigiza Nyimbo Za Wasanii Kumechangia Wao Kupoteza Radha Iliyokuwepo.hivi Karibun Kilicho Kuwa Kina Wabeba Ni Ile Sehemu Ya Copy&paste Sasa Naona Kama Haipo.jamaa Wana Vipaji Ila Wajipange Wale Wenzao Wa Jiran Eatv Wana Anza Kuwapiga Bao So Wajipange Warudi Mi Ni No 1 Fan Wao
 
Origino komedi ndio nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom