ORIJINO KOMEDI vipi au ndio Wamekwisha?

GM7

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
492
24
Kuna tetesi kundi limevunjikaa masanja nimesikia sasa hivi ni mtangazaji wapo radio........
 
Habari ndio imeisha kabisa unacheza na ccm nini ikawavuta tbc wakawatumia kisiasa tofauti na walivyokuwa etv saizi wako chali kitu vituko show chini ya king majuto utacheka tu hata kama umeboreka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwishineee, tulijua walivutwa kutoka kwa eatv wakafikiri wanaenda kupeta kumbe Chama cha Mafisadi walifanya hivyo kwa makusudi ili wasiendee kuumbukaSasa wamevuna walichopanda watazamaji sasa hawana mvuto nao kabisaaa
 
Kwishineee, tulijua walivutwa kutoka kwa eatv wakafikiri wanaenda kupeta kumbe Chama cha Mafisadi walifanya hivyo kwa makusudi ili wasiendee kuumbuka Sasa wamevuna walichopanda watazamaji sasa hawana mvuto nao kabisaaa
 
Back
Top Bottom