Orijino komedi: Mnaganga njaa kutangaza propaganda za magamba?

Kwa upuuzi huu mkataba wao ukiisha TBC ni vigumu sana kufanya kazi na TV nyingine kwani wao tayari ni akina Komba wa miaka ijayo kizazi cha nyoka. Wafanyiwe counselling kuelezwa madhara ya mchezo wanaocheza na wajue kwamba wanakula mtaji ambao ni kuwachekesha waTZ na siyo kuwashabikia CCM.
 
MwanaJF ucpoteze muda wako kuwazungunzia wa2 wasiojitambua,hiv nyie or.comed(but fake)watoto wenu mnategemea kuwaridhisha ubonzo,tetea nchi yako kwa ajili ya kizazi chako.CO MNATENGENEZA MIILI 2 KWA KUPOTOSHA UKWELI.
 
Back
Top Bottom