Kaka hao ndio TBC ukishindwa kuendana na falsafa yao wanakutapika fasta kamaMpwa wetu Tido mhando
Watu wengi siku hizi hawaangalii kabisa commedy ya TBC,hata watoto nao siku hizi hawana interst nayo kabisa,zile enzi za watu kurundikana kwenye mabaa kuangalia commedy zimeisha,hawana mvuto kabisa na sabau ni hiyo ya kuegemea chama fulani wakati wanajua asilimia 80 ya vijana si wapenzi wa CCM na vijana ndio waliokuwa waangaliaji wakubwa wa commedy.Mimi ndio kabisa nina zaidi ya mwaka sijaangalia hicho kipindi na sidhani kama itatokea tena,bora kuangalia futuhi kwani wao wana mvuto kidogo.Yaani basi tu!wote ni maubwabwa wa ccm!shenz zao
The Orijino Comedi ni watumwa wanaofanya kazi ya Bwana wao, hatuna haja ya kuwaandama on individual circumstances. Tunajua wanawatumikia ccm. Lazima tukubali kuwa ukiwa ndani ya ccm hata akili yako inadumaa