Orijino Komedi Fanyen tamasha.

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
Mie nimeguswa na sana nilivoona Vengu anaumwa kiasi kile bila msaada wowote kutoka kwa fans weng wa OK .Nawaomba Ok wafanye tamasha mikoa yote kwa ajili ya kuchangisha pesa angalau akapate matibabu nnje kuliko kuendelea ng'atwa mbu wa Muhimbili.
 
Labda wameambiwa kuwa ugonjwa hauwezi kutibka tena ndio maana wapo kimya.
 
Basi angalau waoneshe jitihada kiasi hata kama ugonjwa hauta pona.
 
Kikwete si alienda kumuona, ina maana anafurahi kuona bado hajapatiwa matibabu?
Nasikia ana jipu kwenye ubongo, sijui ni kweli?
 
Kikwete si alienda kumuona, ina maana anafurahi kuona bado hajapatiwa matibabu?
Nasikia ana jipu kwenye ubongo, sijui ni kweli?

Ndo walitib ilo mana wakiliacha nadhan ndo shida zaid. Matatizo ya ubongo yan option mbili upasiliwe ambapo waweza kufa au kupona. Ila kulikaushia tatizo nilazima atakufa.
 
Nimesikia tbc wanasema saiz amepata nafuu kiasi na kikwete ndo analipia gharama zote.
 
Point umeongea na jamaa walivyo na mashabiki pesa mingi tu ingepatikana, na wao kwa kuonyesha njia wengi wangefuata.
 
Point umeongea na jamaa walivyo na mashabiki pesa mingi tu ingepatikana, na wao kwa kuonyesha njia wengi wangefuata.

Yan dogo angepata matibabu mazuri kuliko kwenda kubwagwa muhimbili
 
Na Mi Natoa Green Light,.Inabidi Wafanye Hivyo Tutawa support
 
Wazo zuri sana. Ubarikiwe uliyelileta. Wafanye hivyo nna hakika watanzania wengi tutawaunga mkono. Vengu anateseka sana hivyo kama binadamu itapendeza tukimsaidia.
 
wazo nzuri sana,heri wangefuata huo ushauri
Ni kweli ni zuri, wasi wasi wangu ni je huu ushauri utawafikia? Jf kuna memba wengi na naamini wapo ambao wanaweza kuwafikia akina masanja na kuwafikishia hili wazo....ningewashauri wafanye hivyo na mungu atawabariki..
 
Jinsi walivyo katika kuandaa vipindi vyao ndo tatizo,ili waweze fanya matamasha inawalazimu kuandaa at least vipindi 4 au 5,so wawe na muda wa kusafiri.mpaka leo hii wao wana tengeneza vipindi kwa wiki husika.yaani kama kipindi ni alhamis,basi watashoot jumatatu na jumanne,wanaedit jumatano na kupeleka kipindi alhamisi TBC.Wenzetu kote uruhusiwi show zako kuonyeshwa at least umeshoot na kuwapelekea vipindi vya miezi 3 au zaidi ili ata kama linatokea tatizo wahusika waweze jipanga show isi pwae.Imagine Joti augue ghafla,na mpoki akawa bize anauguza mkewe....itakuwaje? Kipindi cha wiki usika kitanoga?Wanatakiwa kubadilika watafute mtaalamu ili wawe wanatoa weekly episodes,wanafanya matamasha mikoani,na kutengeneza sanaa nyinginezo kama standup comedy n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom