Original comedy wanapewa nini na CCM?

ipo cku watajutia maneno yao. sijui watakula wapi tena watoto wa Nepi..!?
 
Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi?

Hawa si wanalishwa na CCM bila kuisifia au kutumbuiza watakufa njaa
 
jamaa inaelekea wamepewa kitu manake siku hizi hawathubutu kuikosoa serikali
 
nA UMAARUFU WAO NDO UNAANZA KUISHA ...HAWAJUI MAANA YA KUIGIZA WAIGE HATA MATAIFA YA NJE
 
Ni shida ya hela tu ndio inayowasumbua siyo kingine si unajua umasikini mbaya bwana unaweza kufanya lolote kwa hela .............
 
nA UMAARUFU WAO NDO UNAANZA KUISHA ...HAWAJUI MAANA YA KUIGIZA WAIGE HATA MATAIFA YA NJE

Sio kwamba umaarufu wao ulishakwisha siku nyingi sana?Hata yule mgombea wa UPDP kule Igunga anawazidi sana
 
Back
Top Bottom