ORIGINAL COMEDY, tawi la CCM....

upupu mtupu, mnakimbizwa na ushabiki wenu na wala sio maslahi ya wananchi, kubali usikubali ni tabia ya kiafrika kumuona mtu mwenye wazo tofauti/mdala na la kwako kuwa hana akili, lini mtasitarabika? kuwa cdm wewe lazima ukubali wapo cuf,ccm,nccr, updp, wenye mtazamo na approach tofauti ingawa wote waweza lenga maendeleo. hivyo original commedy kwa mtazamo wao waheshimiwe, yaani utu wao, haki zao ktk kuamini jambo inastahili waheshimike na kama ni hoja ije kwa msingi unaokubalika si wa kidikteta. hebu wana cdm kuweni wastahimilivu hiyo ndiyo msingi pekee wa kuishi na kuamini demokrasia. jitahidini wakati wote kukijenga chama chenu kwa hoja ambazo (scientific), kwa lugha rahisi kwa kutumia ushahidi wa uzaifu wa vyama vingine ktk kuwashawishi watanzania na si kuburuzana na kuwafanya walio nje na imani yenu ni mashetani kwa uppande mwingine.

uwezo wako wakufikiri ni kama wa ccm na huna jipya zaidi upupu unaopost hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom