Oriflame kwa bidhaa bora za urembo

Moorio

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
396
552
KARIBU ORIFLAME KWA BIDHAA BORA KABISA ZA VIPODOZ KWA WANAUME NA WANAWAKE
KUNA SCRUB NA TONER,kwa ajili ya kuondoa chunusi na sumu za cream zenye kemikali zilizoharibu na kuunguza ngozi.
KUNA LOTION NA CREAM,ambazo hazichubui ila zinakupa ngozi nyororo na yenye mvuto,na tuna CREAM special kwa mtu mwenye mabaka usoni kwa ajili ya kusawazisha rangi ya uso kuwa ya aina moja yenye mvuto
NOVAGE PRODUCTS,hizi ni products special kwa ajili ya kuondoa makunyanz usoni,hasa kwa walionde umri,inarudisha ujana na urembo..
LOTION ZA MIGUU NA MIKONO,hizi ni maalum kwa kulainisha ngozi ya miguu hasa magaga sugu na mikono migumu..
PRODUCTS ZA MANICURE NA PEDICURE,pia zinapatikana zenye ubora wa hali ya juu
POWDER NA FOUNDATION,tuna poda na foundation kwa rangi zote za ngozi.
PERFUME ZA KIKE NA KIUME,zipo classic sana kuwa mtanashati na mrembo kwa kunukia vyema.
PRODUCT ZA NYWELE,hapa tuna shampoo,conditioner,mafuta bora kabisa ya kuondoa mba ,kujaza na kukuza nywele na therapy maalum kwa nywele zilizokatika.
DAWA ZA MENO,tuna dawa bora kabisa ya meno kwa wakubwa na watoto yenye kaz 8 ..
SHOWER GEL,tuna shower gel bora kabisa zenye manukato mazuri zitokanazo na matunda na mimea
MASSAGE OIL,tuna oil massage bora kabisa inayofanya mwili kurelax na pia inaondoa michirizi mwilini.....
Na pia tuna bidhaa nying mbalimbali za urembo zitokanazo na mimea asili na matunda...karibu Oriflame kwa bidhaa bora za urembo....

Bidhaa zote hizo utazipata kwa bei ya jumla au rejareja,watsapp 0767184333
9efc093b0682ffe634abf6294df455f1.jpg
7f1e0d6831fe858e9005f7799c5ca829.jpg

Mascarra zinazorefusha kope na kujaza bila kubandika
97b79801e0c5c3ba9b183ef0b897ee6f.jpg
8dadeb421563cfa4cc688e85132618bf.jpg

Ondoa mikunjo ya uzee kwa set bora za novage
4bf360248a6118c056dc74a1f6fc87a8.jpg
 
Back
Top Bottom