Oral interview Udom

Mbona ni madereva na watu wa idara ya afya tu? Au ndio walifaulu?

si hivyo mkubwa madereva na idara ya afya ndo waliwekwa katika web bt wa2 wengine wamepigiwa sim. pia kama kuna m2 mwenye taarifa kam hizo oral interview washamaliza kwa kada zote a2juze. mwaka mpya mwema wadau, 2kaze kwa kasi zaidi
 
watu wahsaanza kazi siku nyiiiiingi kumbe wengine bado mnasubiria kuitwa oral,daaaaaaaaaahh
 
si hivyo mkubwa madereva na idara ya afya ndo waliwekwa katika web bt wa2 wengine wamepigiwa sim. pia kama kuna m2 mwenye taarifa kam hizo oral interview washamaliza kwa kada zote a2juze. mwaka mpya mwema wadau, 2kaze kwa kasi zaidi

Web ipi ndugu maana mi mwenyewe nili apply upande wa afya ila naona kimya udom
 
Hii na mimi inanigusa,niliapply System/Network Administrator.Lakini Mpaka dakika hii walioitwa kwa oral interview ni Madereva na watu wa Afya.Kada nyingine zote kama vile Wahasibu,Human resource,Relation officers nk bado hawajatangaza sijui ndio jiiii haieleweki.Ila sasa hivi ukitembelea ile website yao "www.udom.ac.tz" utakuta tangazo la "resolution of the meeting" ukilisoma utaona kuna watu 80 ajira mpya wamesema za February mpaka 14,Decemba sasa sijui wote ndio humo humo,lakini hawajawatoa majina yao hao mwaajiriwa wapya.Lakini Kumbuka sisi tumeomba august,so inaweza kuwa ndio baibai hiyo.Undugu na Kufahamiana,UNATWANGIWA TU MWANANGU NJOO KAZINI!!!!Kigumu Chama Cha Mapinduzi
 
7 Recruitment of Academic and Administrative staff Endorsed Endorsed HRMC recommendations to approve eighty four (84) Employees, 55 academic staff and 29 administrative Staff who were recruited between May and December, 2011Wakuu hii ndio sehemu ya Resolution ya hiyo 22nd Meeting iliyokaa 14th December, 2011.Na hao ndio walioajiriwa.Kwa nini Wasitoe Majina ya walioitwa Kazini?Siri ni nini Kama walitutoa majina yetu kutuita kwenye usaili,nini ugumu kutoa majina ya walioitwa kazini?Nchi Corrupt na Serikali Corrupt hufanya mambo kwa siri!!!
 
Back
Top Bottom