Oral interview nssf

Status
Not open for further replies.

dundula

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
539
138
Vp wadau poleni na majukum! hv hao jamaa wa nssf walishaita oral interview?:lol:
 
Akina Juma, Mwinyi, Issa, Abdallah, Amina, Ramadhan, Abdulrahman, Zainabu, and the like walishaitwa lakini sio sisi akina John, Mathew, Esther, Hellen and the like.
 
mmmmh!!!hayo Majungu,ina maana hakuna akina John pale?nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri......Nenda NSSF au pitia Website yao utaona "Management" yao then analyse no. ya hao unaowatuhumu ndo uje uandike hapa.
 
Achana nae huyo udini unamsumbua.
 
Akina Juma, Mwinyi, Issa, Abdallah, Amina, Ramadhan, Abdulrahman, Zainabu, and the like walishaitwa lakini sio sisi akina John, Mathew, Esther, Hellen and the like.[/QU. Karne hii unazungumzia ubaguzi wa dini? Shame on u! JF is not the right place.
 
Akina Juma, Mwinyi, Issa, Abdallah, Amina, Ramadhan, Abdulrahman, Zainabu, and the like walishaitwa lakini sio sisi akina John, Mathew, Esther, Hellen and the like.

Nafikiri ktk vigezo vilivyotajwa dini haikuwemo hivyo suala la kuitwa Ally na Haruna sio shida sana kwangu la msingi wawe na vigezo jaribu kuangalia na sekta nyingine km TRA na kwingineko sio udini kuuona nssf tu!ujui ulisemalo mkuu
 
Mkuu, inamaana una uhalalisha udini wa NSSF kwa kuwa na TRA upo? Narrow mind!
 
mmmmh!!!hayo Majungu,ina maana hakuna akina John pale?nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri......Nenda NSSF au pitia Website yao utaona "Management" yao then analyse no. ya hao unaowatuhumu ndo uje uandike hapa.

Usitupe habari za website hapa bwana,mpaka sasa marehemu Jeremia Sumari ni Naibu Waziri wa Fedha kwa mjibu wa website unazozitukuza,bisha basi nikumwagie data fasta,hii ni jf bwana not other like facebook
 
tanzania sasa hivi kuna udini sana zamani ilikuwa ukabila mara wachaga,wahaya,wanyakwisa. Leo uislam na ukristo. Waislam wanadini yao na wakristo wanadini yao hivi tatizo nini....
 
Tatizo ni baadhi ya watawala wa nchi yetu waliotangulia ndo walitengeneza hii sumu kwa kupendelea dn moja na kuwakandamiza wa dn nyingine kwa visingizio kuwa hawakusoma kitu ambacho hakikuwa na ukweli sasa mbona leo kuna maprofessor na madoctor wazee wa dn ambayo ilisemwa haina wasomi wanaongoza sekta mbalimbali sijui zaman walikuwa hawaishi tz?
 
Akina Juma, Mwinyi, Issa, Abdallah, Amina, Ramadhan, Abdulrahman, Zainabu, and the like walishaitwa lakini sio sisi akina John, Mathew, Esther, Hellen and the like.

Inamaana NSSF wana udini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom