Oral interview inakuwaje NMB, naombeni msaada

wynejosee

Senior Member
Jan 28, 2014
148
59
Mambo vp wadau,
Naomba kuuliza maswali ya Oral nmb kwa post ya bank officer maswali huwa yanakuaje? Ni ya kusoma au kutumia akili tu?

Nashukuluni kwa msaada wenu mliotoa katika mtihani wa aptitude test nmb.....sasa nimeitwa oral, nisaidieni tafadhari.
Ahsante
 
nikuulize hz nafas za nmb unapeleka cv wapi kwa hapa dar
 
daaaah hii benk nshaomba saana..
Yaan sijawah bahatika hata kuitwa kwa intervw jaman Mungu huyu.....
Hongera kwa hatua uliyofikia..
Me naona ushapata kaza buti mkuu
 
Mambo vp wadau,
Naomba kuuliza maswali ya Oral nmb kwa post ya bank officer maswali huwa yanakuaje? Ni ya kusoma au kutumia akili tu?

Nashukuluni kwa msaada wenu mliotoa katika mtihani wa aptitude test nmb.....sasa nimeitwa oral, nisaidieni tafadhari.
Ahsante

Hongera kwanza kwa nafasi uliyofikia.

Cjawahi kufanya interview pale kwahy sijui nn wanauliza ila ni lazima ujue products za pale, ujue kujielezea kuhusu ww na mengineyo.

Swali langu, application yako uliipeleka wap? Na je walitangaza nafasi au ulituma tu.

Naomba jibu tafadhali.
 
Back
Top Bottom