Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
Ijulikane kuwa hii ndio the best Database kwa sasa hivi.Kama umetumia Oracle utakubaliana na mimi.
Je watanzania tuna watu wenye ujuzi wa administration,developing kwenye Oracle? Siku za karibuni tumeshuhudia baadhi ya makampuni wakiitaji watanzania wenye sifa hizo lakini wamekosa(sina uhakika) na badala yake lundo la wageni wakichukua kazi za DB kwa kisa tu hatujui Oracle.
Tufanyeje? Nafahamu kuna watanzania wenye uwelewa na Oracle tupo humu,tushirikiane tutajadili mengi toka kwenye Administration,developing forms and reports na mengineyo.
.