Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oppreshen ya shoulder legaments

Discussion in 'JF Doctor' started by kisesa, Nov 10, 2011.

  1. k

    kisesa Member

    #1
    Nov 10, 2011
    Joined: Apr 30, 2011
    Messages: 72
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 15
    NILIKUWA NA TATIZO LA KUCHOMOKA MKONA .
    Nimefenyiwa oppr ya shoulder legaments bado sijatoa nyuzi hadi tarehe 14/11/11 DR, alisema legaments zilikuwa zimelegea
    NAOMBA KUFAHAMU JE SITAPATA TENE TATIZO LA KUJOMOKA MKONA?
    TKS.
     
  2. P

    Pascal Mayalla JF-Expert Member

    #2
    Nov 10, 2011
    Joined: Sep 22, 2008
    Messages: 20,560
    Likes Received: 6,190
    Trophy Points: 280
    Pole Kisesa, hongera zako angalau umeweza kufanyiwa hiyo oparation ya shoulder ligaments, mimi nilipata tatizo hilo, ila la kwangu lilihusisha 'brachial plexus injury', hivyo hata oparation ya ligaments haiwezi kusaidia kitu, nimeshauriwa nifanye 'fusing' ya mifupa ya bega, moyo wangu bado unasita kufanyiwa fusing, nasubiria kupona kwa miujiza tuu kwa vile YEYE anaweza yote!.
     
Loading...