Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
Mambo yaliyopita yanaweza yakatabiri yajayo au wakati mwingine ni kinyume chake,unachotakiwa hapa ni kuangalia anachotenda na sio anachosema.Anaweza akajikopi kwenye wema lakini kama hatarajii kuwa mwema utaiona tabia yake muda sio mrefu.Kwa tahadhari watu hawa mara nyingi ni wazuri sana kwenye kujidai ni wema,pia huwa ni mara chache sana kubadilika!