Opinion; Upinzani Wekezeni hapa

luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,848
1,938
CDM na vyama vingine vya upinzani nashauri muwekeze sehemu kubwa ya mlichonacho kwenye hili la BALALI.. For sure it can be the last touch to win this Game of finishing CCM kwenye fikra za watz.
Wengi humu wameongelea abt hiring private Investigator,. Nakubaliana na hili na nina imani kwa ukubwa wa chama kama CDM hili linawezekana., Dr Slaa na wengine, tunafahamu zawadi haiombwi but kwa hili tunaomba mtupe zawadi watanzania kwenye hii inayotusumbua akili kila kukicha. Nakumbuka katika kampeni za Dr. Slaa alipokuwa anafanya mdahalo kupitia ITV alisema watanzania tumchague atuletee BALALI within Three Months Time...Naamini kwa kauli yako hii ulikuwa unaamini hili linawezekana.. Now kwa resources zilizopo katika chama finacially and Human, zawiza saidia kufanikisha hili (tutachangia itakapopungua),kisha tusikie wapayukaji kama watasubutu kusema,. huko ni kutafuta umaarufu.

Yap kuna swali la kujiuliza hapa, ya kwamba hata Balali akiletwa hapa nani wa kumuhukumu? je nani wa kumhoji? na menineyo mengi.
Nionavyo mie hukumu yake iko mikononi mwa UMMA....kitendo cha kumuona tu ni hukumu tosha kwa CCM kwa ujumla..

To tell U the truth tht will be the Golden Goal
 
Kwa ushauri ulioutoa na wakijua kuwa unafanyiwa kazi...Watammaliza kiukweli!
Balali atakufa kwa mara nyengine lakini hii itakuwa ya ukweli na watu watapata nafasi ya kuhudhuria mazishi yake.

Au watamzika kimya kimya na chap chap kama mwili wa "Osama"?
 
aisee unamtakia baba wa watu kifo cha ukweliii, lakini hata mimi ningefurahi kuona anafufuka tumalize zogo.
 
hiyo pia ni hukumu kwake japo naamini ana leverage inayomuweka hai dhidi ya CCM na jaribio lolote la kutaka kumuua na ndio maana wakampa hifadhi mbali na mikono ya hukumu
 
Back
Top Bottom