OPINION POLL: Je, umeridhika na utendaji kazi wa Kikwete?

Fareed

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
328
135
Kwa kuwa Synovate na REDET wamegoma kutoa matokeo ya kura za maoni zinazoonesha kuwa Dk. Willibrod Slaa amempiku Jakaya Kikwete, na gazeti la serikali Daily News na la CCM Uhuru wameleta mizengwe baada ya online opinion polls zao kuonyesha kuwa Slaa kidedea, sasa kuna opinion poll mpya inayo endeshwa na gazeti la THISDAY.

Naomba wana JF wenzangu tupige kura kwenye opinion poll hii mpya ili kuonesha hisia zetu halisi juu ya utendaji wa Kikwete kwenye kipindi chake cha Urais cha miaka mitano (2005-2010). Tunawaomba THISDAY watangaze matokeo ya kura hii ya maoni baada ya wiki moja ili iwe ni mwongozo wa mwelekeo wa Watanzania kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 31.

Opinion poll hiyo inapatikana hapa:

www.thisday.co.tz
 
naona magezeti yanatafuta kujitangaza na kuvutia matangazo ya biashara. mbona tumeishapiga kura za hivyo Mwananchi, jamii, majira etc. Kwani wao wana wasomaji tofauti na sisi. Ni kuvutia matangazo tu! Kwamba tuna wasomaji wengi na blah blah nyingine!
 
Wacha tupige kura za maoni huku JF na kwenye magazeti, kwani si REDET wala Synovate wanaweza kutoa matokeo ya kura za maoni zao kwa kuhofia kumuudhi Rais wao Kikwete.
 
naona magezeti yanatafuta kujitangaza na kuvutia matangazo ya biashara. mbona tumeishapiga kura za hivyo Mwananchi, jamii, majira etc. Kwani wao wana wasomaji tofauti na sisi. Ni kuvutia matangazo tu! Kwamba tuna wasomaji wengi na blah blah nyingine!

Wewe kapige kura yako, kwanza hili gazeti ni la kiuchunguzi hivyo matokeo yatakuwa bila chakachua. Kwani huko barabarani unatembeaje wakati kuna mabango kibao ya biashara, huwa unajikwaa au unanua kila kilichopo kwenye tangazo?
 
Kwa kuwa Synovate na REDET wamegoma kutoa matokeo ya kura za maoni zinazoonesha kuwa Dk. Willibrod Slaa amempiku Jakaya Kikwete, na gazeti la serikali Daily News na la CCM Uhuru wameleta mizengwe baada ya online opinion polls zao kuonyesha kuwa Slaa kidedea, sasa kuna opinion poll mpya inayo endeshwa na gazeti la THISDAY.

Naomba wana JF wenzangu tupige kura kwenye opinion poll hii mpya ili kuonesha hisia zetu halisi juu ya utendaji wa Kikwete kwenye kipindi chake cha Urais cha miaka mitano (2005-2010). Tunawaomba THISDAY watangaze matokeo ya kura hii ya maoni baada ya wiki moja ili iwe ni mwongozo wa mwelekeo wa Watanzania kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 31.

Opinion poll hiyo inapatikana hapa:

www.thisday.co.tz
NA HAYA NDO MATOKEO YA BAADA TU YA MIMI MWENYEWE KUTOA MAONI !!!
Do you approve or disapprove of President Jakaya Kikwete's overall job performance (2005-2010)?
Approve (4%, 2 votes)

Disapprove (93%, 43 votes)

Undecided (2%, 1 votes)

Total Votes: 46
 
Ukweli JK na CCM yake wataujua vyema hapo tarehe 31st Oktoba tutakapowatupia viragoo vyao....once and for all
 
Ivi redeti bajeti imekata?

Imekata wapi? Walikuwa wanapika matokeo ya ushindi wa JK kwa asilimia 80 sasa watu wamejua, walotumwa kutafiti na wameshituka na kuwaweka nuruni. Inadaiwa wakusanya maoni walikuwa wanapelekwa kwa Wajumbe wa nyumba kumi (mabalozi wa CCM). Jana Ananilia Nkya wa TAMWA ameitoa laivu na ITV wakaitoa hewani.
 
Kwa kuwa Synovate na REDET wamegoma kutoa matokeo ya kura za maoni zinazoonesha kuwa Dk. Willibrod Slaa amempiku Jakaya Kikwete, na gazeti la serikali Daily News na la CCM Uhuru wameleta mizengwe baada ya online opinion polls zao kuonyesha kuwa Slaa kidedea, sasa kuna opinion poll mpya inayo endeshwa na gazeti la THISDAY.

Naomba wana JF wenzangu tupige kura kwenye opinion poll hii mpya ili kuonesha hisia zetu halisi juu ya utendaji wa Kikwete kwenye kipindi chake cha Urais cha miaka mitano (2005-2010). Tunawaomba THISDAY watangaze matokeo ya kura hii ya maoni baada ya wiki moja ili iwe ni mwongozo wa mwelekeo wa Watanzania kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 31.

Opinion poll hiyo inapatikana hapa:

www.thisday.co.tz

Jibu utalipata baada ya Oktoba 31. Usijihangaishe sasa hivi. Bado siku 24 tu.
 
Ukweli ni kuwa Kikwete hauziki,amekuwa kama zigo la mavi halibebeki.KIKWETE HAKUBALIKI, NI MGONJWA,NI FISADI, NI MSHIRIKINA,NI MDINI,NI MROPOKAJI(wagonjwa wa ukimwi ni kiherer chao nk)NI DIKTETA(ANATUMIA JESHI KUBAKI MADARAKANI)MPENDA ANASA, NI BINGWA WA FITINA...................!!!SISI TUNASEMA KIKWETE HAKUBALIKIIIIII, NA HATUDANGANYIKI
 
Back
Top Bottom