Operesheni sangara party 2 kuanza wiki ijayo.

Chadema bana mara mseme mnataka kuuwawa hivi inaingia akilini kweli mtu unasema unatishiwa kuuwawa halafu unaanza kuzunguka mikoani kwa hiyo mkoa hatari kwa Chadema ni Dar es Salaam tu siasa zingine bana.
 
... kwa kuwa huko ndiko kuliko na Mahakama yenye mamlaka ndani ya mipaka ya nchi yetu. Acha Mahakama ya Umma nayo ifanye kazi yake maana ndio chombo pekee kinachoaminika nchini hadi hivi sasa mbele ya uso wetu.

Chadema bana mara mseme mnataka kuuwawa hivi inaingia akilini kweli mtu unasema unatishiwa kuuwawa halafu unaanza kuzunguka mikoani kwa hiyo mkoa hatari kwa Chadema ni Dar es Salaam tu siasa zingine bana.
 
kwi..kwi..kwi hivi wewe bila chadema hulali kweli wamekushika pabaya mbona rashrasha hizo masika ikija si utazama na baada ya kuanza kwenu kutaka kuua wanaharakati sasa inkuja sunami kama unakumbuka masha,waziri mambo ya ndani namramba tuliwaondoa mchana kweupe na sasa mmegawanyika mkipanga hochote wanatubeep pazuri hapo:israel:QUOTE=Ritz;4213948]Chadema bana mara mseme mnataka kuuwawa hivi inaingia akilini kweli mtu unasema unatishiwa kuuwawa halafu unaanza kuzunguka mikoani kwa hiyo mkoa hatari kwa Chadema ni Dar es Salaam tu siasa zingine bana.[/QUOTE]
 
Chadema bana mara mseme mnataka kuuwawa hivi inaingia akilini kweli mtu unasema unatishiwa kuuwawa halafu unaanza kuzunguka mikoani kwa hiyo mkoa hatari kwa Chadema ni Dar es Salaam tu siasa zingine bana.

Tunakwenda kuwaeleza wananchi kuwa ccm ni wauaji.
 
Kaka nape jiandae kwenda kufuta nyanyo,kama wanaenda jimbo la nchemba nikumbusheni ile namba ya m pesa nitume ka mchango.
 
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kuanza ziara ya kuimarisha chama katika mikoa mitano. nayo ni dodoma,singida,manyara,iringa na morogoro.

source: clouds tv

hawa chadema nao wanaona cfa kujambisha wenzao!
 
Siasa za udanganyifu hizo Tanzania ni nchi ya amani nenda mnapotaka hakuna wa kuwagusa serikali itawalinda.

Ni kweli Tanzania ni nchi ya amani, kwakuwa ccm waliwaua watu wetu Arusha, Arumeru, Igunga, na wabunge wetu walipigwa mapanga kule mwanza, hakuna hatua zilizochukuliwa kwa sababu Tanzania ni nchi ya amani! Uko sawa Mkuu!
 
Basi Nape kusikia hivo leo halali, namwona anamwota Kamanda wa nchi kavu atakavoharibu.
 
Chadema bana mara mseme mnataka kuuwawa hivi inaingia akilini kweli mtu unasema unatishiwa kuuwawa halafu unaanza kuzunguka mikoani kwa hiyo mkoa hatari kwa Chadema ni Dar es Salaam tu siasa zingine bana.

Hivi zile tuhuma za Mwakyembe zilipatiwa majibu? Tuhuma za Slaa za kutegewa vinasa sauti je? Vitisho dhidi ya Sitta, nani aliwajibika? Mauaji ya Kombe vipi?

Hivi nani amekamatwa kuhusiana na jaribio la mauaji ya Dr. Ulimboka? Mmh, na yule kada wa CDM aliyeuawa kule Igunga nani kakamatwa? Kuna wabunge Kiwia na Machemli walishambuliwa kule Mwanza tena mbunge wa ccm alihusika, wamechukuliwa hatua gani?

Mwakyemebe alisema, .... Tanzania ndio nchi pekee duniani ambayo polisi wanataka wapewe taarifa na mtoa taarifa awape ushahidi ili waone kama kuna haja ya kuchunguza na kuchukua hatua au la. Polisi wa sasa hawaaminiki.
 
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kuanza ziara ya kuimarisha chama katika mikoa mitano. nayo ni dodoma,singida,manyara,iringa na morogoro.

source: clouds tv

Ngastukaa machale kundesaaa huko watapata mahawara wa KIBABU KIBACHELA
 
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kuanza ziara ya kuimarisha chama katika mikoa mitano. nayo ni dodoma,singida,manyara,iringa na morogoro.

source: clouds tv

hiyo mikoa ina wakristo wachache ndio mana cdm haikubaliki
 
Back
Top Bottom