OPERESHENI Okoa Kusini ya CHADEMA yashika kasi

Baada ya jana kufanya mikutano ya hadhara, kufungua matawi na kuweka uongozi wa muda kata zote 15 za Wilaya ya Mtwara Mjini, leo Operesheni Okoa Kusini imeingia vijijini.

Ratiba ya leo Wilaya ya Mtwara Vijijini ni ifuatavyo: Timu ya Mwenyekiti Freeman Mbowe itakuwa Kata za Madimba na Tangazo, Timu ya Makamu Mwenyekiti Said Mohamed Issa itakuwa Kata za Msanga Mkuu na Ziwani, Timu ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa itakuwa Mtimbilimbwi na Nanyamba, Timu ya John Mnyika itakuwa Nanguruwe na Mayanga, Timu ya Tundu Lissu itakuwa Nitekela na Milangominne, Timu ya John Heche itakuwa Bilimba na Mnima, Timu ya Godbless Lema itakuwa Mtinjiko na Mbembaleo, Timu ya Ezekia Wenje itakuwa Kata za Kitere na Libobe.

Kazi ni ile ile mikutano ya hadhara, mikutano ya ndani, kufungua matawi, kusimika uongozi wa muda kuelekea uchaguzi wa ndani kuanzia Juni 1 mwaka huu!

Kujenga oganaizesheni ya chama kuanzia vijijini mpaka mjini, kueneza elimu ya uraia, hasa suala la katiba mpya, kuendelea kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi katika ngazi zote hasa ktk kushughulikia vyanzo vya matatizo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, yanayoikabili nchi kwa sasa, badala ya kushughulikia matokeo ya matatizo hayo kama inavyofanywa na serikali ya CCM hivi sasa.

kwenye msako wa msako wa kambale hata dagaa hawezi pona, go ahead makamanda, na watu wa kusini tuwape sapotii hawa wapiganaji waliotufuata, tufungue matawi mengi kadri iwezekanavyo...
ratiba imetulia na kuacha unafki wa akina oil chafu, jamaa wanapiga mzigo jamani
 
Tunashukuru sana Kamanda. Ukipata pich rusha hapa tufaidi zaidi. Inabidi pia kila vijiji na kata wanapopita wa-identify viongozi wa matawi/mashina kwani kuna baadhi ya maeneo CDM walipita wakati wa operesheni Sangara, lakini hawakuacha mfuatiliaji wa mambo siku kwa siku.
 
Baada ya jana kufanya mikutano ya hadhara, kufungua matawi na kuweka uongozi wa muda kata zote 15 za Wilaya ya Mtwara Mjini, leo Operesheni Okoa Kusini imeingia vijijini.

Ratiba ya leo Wilaya ya Mtwara Vijijini ni ifuatavyo: Timu ya Mwenyekiti Freeman Mbowe itakuwa Kata za Madimba na Tangazo, Timu ya Makamu Mwenyekiti Said Mohamed Issa itakuwa Kata za Msanga Mkuu na Ziwani, Timu ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa itakuwa Mtimbilimbwi na Nanyamba, Timu ya John Mnyika itakuwa Nanguruwe na Mayanga, Timu ya Tundu Lissu itakuwa Nitekela na Milangominne, Timu ya John Heche itakuwa Bilimba na Mnima, Timu ya Godbless Lema itakuwa Mtinjiko na Mbembaleo, Timu ya Ezekia Wenje itakuwa Kata za Kitere na Libobe.

Kazi ni ile ile mikutano ya hadhara, mikutano ya ndani, kufungua matawi, kusimika uongozi wa muda kuelekea uchaguzi wa ndani kuanzia Juni 1 mwaka huu!

Kujenga oganaizesheni ya chama kuanzia vijijini mpaka mjini, kueneza elimu ya uraia, hasa suala la katiba mpya, kuendelea kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi katika ngazi zote hasa ktk kushughulikia vyanzo vya matatizo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, yanayoikabili nchi kwa sasa, badala ya kushughulikia matokeo ya matatizo hayo kama inavyofanywa na serikali ya CCM hivi sasa.

My Sweet home, lini mnaenda Masasi???

Wakuu hiyo sehemu imesimama sana na watu wengi wa hapo hawana elimu ya uraia, Chadema wakiishika Masasi ndio utakuwa mwanzo wa mabadiliko katika mikoa ya kusini kwani kwa mtazamo wa haraka haraka ndiyo sehemu yenye muingiliano wa watu tofauti na majimbo mengine ya kusini.

Kama mtafika Masasi hakikisheni mnaenda Kata ya Chiwata, ni kata ndogo sana nadhani kuliko zote Tanzania kwani ina Vijiji vitatu pekee ambavyo vyote vimeunganyika kwa pamoja.

Wananchi wa hapo ni wepesi sana wa kubadilika na nadhani hii M4C vua gamba vaa Gwanda itawaamsha na utakuwa mwanzo wa mabadiliko, Diwani wa hiyo kata anaitwa Mkwanda na huwa anaonekana kipindi cha uchaguzi au ujenzi wa shule au barabara ili aje akombe hata kile kidogo ambacho wananchi wa hapo wamechangishana.
Wananchi wengi wa hapo kilio chao ni ukosefu wa pembejeo na soko la uhakika la Nyanya zao so pointi hapo ni ninyi kama chama mbadala wa ccm mtawafanyia nini ili wapate soko la uhakika na miundombinu ya uhakika katika kipindi chote cha mwaka.

Mjitahidi huo mkutano wenu mfanye siku ya Jumamosi ili kuwapata watu kwa wingi na muhakikishe wanafunzi wote wa shule ya Sekondari Chidya na Shule ya Sekondary ya kata Chiwata wanahudhuria ili wao wawe chachu ya mabadiliko katika jamii.

Ni hayo tu wakuu, Nawatakia safari njema na yenye mafanikio mengi, nitafurahi sana nikikuta nyumbani kwa bibi na babu kuna bendera ya Chadema.
 
Hivi ZUBERI KABWE ana excuse katika hili? au kwa kuwa vikao vya kamati vimeanza naye ndiye mwenyekiti anapaswa kuwa kwenye vikao?
 
Baada ya jana kufanya mikutano ya hadhara, kufungua matawi na kuweka uongozi wa muda kata zote 15 za Wilaya ya Mtwara Mjini, leo Operesheni Okoa Kusini imeingia vijijini.

Ratiba ya leo Wilaya ya Mtwara Vijijini ni ifuatavyo: Timu ya Mwenyekiti Freeman Mbowe itakuwa Kata za Madimba na Tangazo, Timu ya Makamu Mwenyekiti Said Mohamed Issa itakuwa Kata za Msanga Mkuu na Ziwani, Timu ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa itakuwa Mtimbilimbwi na Nanyamba, Timu ya John Mnyika itakuwa Nanguruwe na Mayanga, Timu ya Tundu Lissu itakuwa Nitekela na Milangominne, Timu ya John Heche itakuwa Bilimba na Mnima, Timu ya Godbless Lema itakuwa Mtinjiko na Mbembaleo, Timu ya Ezekia Wenje itakuwa Kata za Kitere na Libobe.

Kazi ni ile ile mikutano ya hadhara, mikutano ya ndani, kufungua matawi, kusimika uongozi wa muda kuelekea uchaguzi wa ndani kuanzia Juni 1 mwaka huu!

Kujenga oganaizesheni ya chama kuanzia vijijini mpaka mjini, kueneza elimu ya uraia, hasa suala la katiba mpya, kuendelea kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi katika ngazi zote hasa ktk kushughulikia vyanzo vya matatizo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, yanayoikabili nchi kwa sasa, badala ya kushughulikia matokeo ya matatizo hayo kama inavyofanywa na serikali ya CCM hivi sasa.

kuiokoa kutoka kwenye nini?
 
Hivi ZUBERI KABWE ana excuse katika hili? au kwa kuwa vikao vya kamati vimeanza naye ndiye mwenyekiti anapaswa kuwa kwenye vikao?

Believe me he's in something BiG ! Yupo Dodoma wakiwa wote pamoja kazi hazitaenda vyema lazima watawanyike !
 
ndio lengo la chama kuondoa pia na unafiki uliokithiri kwenye nchi hii! majitu mengine matumbo yamejaa yanatembelea magari ya kifahari , wakifika huku kijiji wanajidai wako kwenye kundi letu walalahoi. ILA MKUU USERNAME YAKO INACHEKESHA COZ KIKWETU MAANA YAKE NI kibibi
 
Back
Top Bottom