OPERESHENI Okoa Kusini ya CHADEMA yashika kasi

Baada ya jana kufanya mikutano ya hadhara, kufungua matawi na kuweka uongozi wa muda kata zote 15 za Wilaya ya Mtwara Mjini, leo Operesheni Okoa Kusini imeingia vijijini.

Ratiba ya leo Wilaya ya Mtwara Vijijini ni ifuatavyo: Timu ya Mwenyekiti Freeman Mbowe itakuwa Kata za Madimba na Tangazo, Timu ya Makamu Mwenyekiti Said Mohamed Issa itakuwa Kata za Msanga Mkuu na Ziwani, Timu ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa itakuwa Mtimbilimbwi na Nanyamba, Timu ya John Mnyika itakuwa Nanguruwe na Mayanga, Timu ya Tundu Lissu itakuwa Nitekela na Milangominne, Timu ya John Heche itakuwa Bilimba na Mnima, Timu ya Godbless Lema itakuwa Mtinjiko na Mbembaleo, Timu ya Ezekia Wenje itakuwa Kata za Kitere na Libobe.

Kazi ni ile ile mikutano ya hadhara, mikutano ya ndani, kufungua matawi, kusimika uongozi wa muda kuelekea uchaguzi wa ndani kuanzia Juni 1 mwaka huu!

Kujenga oganaizesheni ya chama kuanzia vijijini mpaka mjini, kueneza elimu ya uraia, hasa suala la katiba mpya, kuendelea kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi katika ngazi zote hasa ktk kushughulikia vyanzo vya matatizo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, yanayoikabili nchi kwa sasa, badala ya kushughulikia matokeo ya matatizo hayo kama inavyofanywa na serikali ya CCM hivi sasa.

Kuna timu moja imekosekana, kwa mtazamo wangu niliihitaji san timu ya prof Safari kwani yeye ni kiboko wa masuala ya sheria, angewaelimisha wanchi vizuri sana juu ya suala la katiba mpya.
All in all hongereni makamanda.
 
NA UWEZEKANO MKUBWA CCM IKAWA CHANZO CHA KUCHOMWA MAKANISA ILI KUWAGAWA WATANZANIA,WALIANZA KWA KUWAPAKA MATOPE CUF BAADA YA KUUNGANA NAO WAKAHAMIA CHADEMA ETI UDINI WAKASHINDWA SASA UKASKAZINI NINA WASIWASI KUNA MKONO WA CCM:israel:

Hili laweza kuwa kweli kwani CCM wako radhi nchi iharibike lakini wabaki na utawala
 
tupo pamoja makamanda mabadiliko ni muhimu.Wacha wananchi wawe na elimu ya uraia ili tujenge nchi tuachane na hayo magamba.
 
Prof. Safari anashughurikia kesi ya Dr Kafumu kule Tabora, nadhani inasikilizwa mfululizo iishe mapema....

Kuna timu moja imekosekana, kwa mtazamo wangu niliihitaji san timu ya prof Safari kwani yeye ni kiboko wa masuala ya sheria, angewaelimisha wanchi vizuri sana juu ya suala la katiba mpya.
All in all hongereni makamanda.
 
Baada ya jana kufanya mikutano ya hadhara, kufungua matawi na kuweka uongozi wa muda kata zote 15 za Wilaya ya Mtwara Mjini, leo Operesheni Okoa Kusini imeingia vijijini.

Ratiba ya leo Wilaya ya Mtwara Vijijini ni ifuatavyo: Timu ya Mwenyekiti Freeman Mbowe itakuwa Kata za Madimba na Tangazo, Timu ya Makamu Mwenyekiti Said Mohamed Issa itakuwa Kata za Msanga Mkuu na Ziwani, Timu ya Katibu Mkuu, Dkt. Slaa itakuwa Mtimbilimbwi na Nanyamba, Timu ya John Mnyika itakuwa Nanguruwe na Mayanga, Timu ya Tundu Lissu itakuwa Nitekela na Milangominne, Timu ya John Heche itakuwa Bilimba na Mnima, Timu ya Godbless Lema itakuwa Mtinjiko na Mbembaleo, Timu ya Ezekia Wenje itakuwa Kata za Kitere na Libobe.

Kazi ni ile ile mikutano ya hadhara, mikutano ya ndani, kufungua matawi, kusimika uongozi wa muda kuelekea uchaguzi wa ndani kuanzia Juni 1 mwaka huu!

Kujenga oganaizesheni ya chama kuanzia vijijini mpaka mjini, kueneza elimu ya uraia, hasa suala la katiba mpya, kuendelea kudai uwajibikaji wa serikali kwa wananchi katika ngazi zote hasa ktk kushughulikia vyanzo vya matatizo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, yanayoikabili nchi kwa sasa, badala ya kushughulikia matokeo ya matatizo hayo kama inavyofanywa na serikali ya CCM hivi sasa.

Pote CDM mnakopita nasikia mnapokea kadi za uanachama wa vyama vingine na kutoa kadi zenu; sijasikia mkitoa na katiba ya CDM kwa hao viongozi wanaochaguliwa? Hao wanaovunwa ukiacha msamiati wa UFISADI wanafahamu tofauti nyingine kati ya CDM na vyama vingine?
 
Mbowe kama vile Pep Gudiola vile na Dr Slaa kama lionel Messi,yani kapanga timu kama kikosi cha Barca. Hapa magamba hawana chao.Vua gamba vaa Gwanda.2015 Magogoni ni lazima
 
Ndiyo maana niliuliza M4C Kusini lini,Namkumbuka Mungi alinipa jibu.Sasa Wanamtwara tumeshaujua Ukweli.Hapa kazi tu maneno.People eee power.Upunge mkono juu sema CCM bye bye.Kusini tumeshaupunga.
 
Usiwadanganye watu wa Mtwara hawataki kusikia CDM, jana wamejidanganya kufungua matawi, leo nimepita Ligula, Lilungu, Chikongora, Majengo, Vigaeni, Chuno, Magomeni, Rahaleo matawi yaliyofunguliwa jana, YAMEWEKWA BENDERA za CCM, Murji anatisha!
 
Back
Top Bottom