Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Wasalaam Wanajf
Kwa kuwa JF sasa imekuwa ndio Taa huru pekee ya kumulika viongozi wa serikali na kijamii ndani na nje ya mipaka ya taifa la Tanzania.
Napenda Kuchukua fursa hii kukaribisha maoni na habari zinazohusu utendaji kazi wa serikali za mitaa na halmashauri za wilaya hasa ukizingatia kuna madudu mengi yanayofanyika katika halmashauri zetu za wilaya nasi tumekuwa tukiyafumbia macho na kudeal na Serikali kuu tu turudi pia kwenye halmashauri zetu. natumai kupata positive co-operation kutoka kwenu.