Operation vua gamba vaa gwanda ndani ya kanda ya ziwa tena.

Kwayu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
499
92
Kamanda Godbless Lema akiongozana na makamanda wengine leo wataitikisa wilaya ya Sengerema wakiendeleza harakati za kuwavua watu magamba, baada ya hapo kesho makamanda watakuwa Chato kwa Magufuli, J3 watatikisa Bunda na J4 watakuwa Singida Kaskazini.Hakuna kulala mpaka Kieleweke. M4C
 
Kanda ya ziwa kimekwishaeleweka. Wangejikita huko Singida, Tabora, Dodoma na ukanda wa kusini ambako watu wako kwenye usingizi wa pono.
 
waambie wakifika singida waanzie pale mtinko ndiyo ngome ya nyalandu na wana kiu ya mabadiliko kweli.nilifungua matawi pale wakaogopa wakaficha bendera nafikiri kishindo cha m4c kikifika pale watatoa bendera ndani.
kuna madiwani wa ccm wawili pale ila wanamjua lisu mkifika pale wtawapa na salam zamgu.
 
Kanda ya ziwa kimekwishaeleweka. Wangejikita huko Singida, Tabora, Dodoma na ukanda wa kusini ambako watu wako kwenye usingizi wa pono.
Nenda kasome kwenye dictionary maana ya neno hili "CONCENTRATION"
 
Kamanda Godbless Lema akiongozana na makamanda wengine leo wataitikisa wilaya ya Sengerema wakiendeleza harakati za kuwavua watu magamba, baada ya hapo kesho makamanda watakuwa Chato kwa Magufuli, J3 watatikisa Bunda na J4 watakuwa Singida Kaskazini.Hakuna kulala mpaka Kieleweke. M4C
Kwa nini wasiende huko nyumbani Bukoba watu wanahamu ya kujua sera za CHADEMA huko pia!!!!

hakikisheni kina mayombya, mang'ombe, kina sombamwichane wanavua magamba na kuvaa magwanda, pamoja sana makamanda
 
Back
Top Bottom