Operation Sangara Ya CHADEMA Yaingia Ulanga (picha)

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
Pg.6.JPG
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mgeta katika jimbo la Kilombero mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mikutano ya operesheni Sangara.
Pg.1.JPG
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiongozana na viongozi mbali mbali wa chama hicho, walipokuwa wakivuka katika kivuko cha mto Kilombero wakitokea jimbo la Kilombero kuelekea jimbo la Ulanga Magharibi, katika mikutano ya Operesheni Sangara inayoendelea katika mkoa wa Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa mkoa wa Tabora, Kansa Mbaruok.Picha na Joseph Senga

Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook
 
hatua kwa hatua morogoro inaangukia chadema.wapogoro wakielewa tuhamie kwa waluguru na wasagara.
 
GO CHADEMA GO ...:UONGOZI IMARA NA MADHUBUTI KAMA HUU WA DR SLAA NA TIMU YAKE NZIMA KOTE NCHINI WATANZANIA TUKAUPATE WAPI TENA NJE YA CDM???

Mkuu Kapotolo, kwa mtaji wa neno hilo moja tuu hakika UMEKUA NI KITOVU CHA FURAHA moyoni mwangu kwa siku ya leo.

Mbali na uchokozi wa makusudi dhidi yetu sote kama taifa la Tanzania kutoka kwa jirani zetu WaMalawi, jambo ambalo linatuhusu sote bila kujali tofauti zetu za nyumbani kisiasa, hakika CHADEMA kimeonyesha bila kigugumizi chochote kile kwamba ni CHAMA KISICHOYUMBISHWA NA MATUKIO MENGINEYO HASA YALE YA KUCHONGA hata kikapoteza DIRA NA MALENGO katika msururu wa mpangilio wa majukumu ukombozi kilq kona ya nchi yetu.

Go, CHADEMA go, go, go for what is MOST DEMOCRATIC to everyone and not only to the super-rich few and the mega-corrupt sections of our society!!!

Go Dr Slaa, go as we are all with you all the way to the very logical end of things in realising people power yet for once - our society's most disgustingly and greedily lost DIAMOND that historical cross-sectionally held us together as ndugu!!!


No fear, no distraction, Go Dr Slaa Go!!!!
 
aluta continua, hao jamaa wa huko ninavyowafaham walivyo na mahaba ya dhat na ccm,wakimuelewa slaa vizuri na wakamkubal basi tanzania nzima kitaeleweka.
 
Great idea! Go! Go! Go! CHADEMA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
Tangu awali nimeshasema M4C haitawabakiza kamwe mafisadi!

Hili zoezi litaendelea mpk kieleweke jamani!
Na wataotaka wanywe sumu kwa ufisadi wao yani wanywe tu!

Viva CHADEMA (M4C) juu juu juu juu zaidiiiiiiiiiii!!
 
It's like Udzungwa Mountain Comparing with Kilimanjaro Mountain, ccm vs CDM. Kazi wanayo, hadi 2015, kitaeleweka tu! Peoples.....POWER

TOGETHER WE CAN BRING THE CHANGES WE DESERVE..........YES WE CAN!!!
 
Back
Top Bottom