Operation maandalizi 2015 yaendelea...

gurumeti

Member
Sep 19, 2012
40
2
Katika hatua ya kujiandaa mbio za urais mwaka 2015 bado zinaendelea. Hatua ya kwanza ambayo ni muhimu ndani ya chama CCM imekamilika. Wadau na makada wamepigwa na butwaa kwani bado zamu za Makatibu wa CCM, DCs, Wakurugenzi wa Halmashauri, RCs zinakuja hivi punde! Hakika karata hizi zikichezwa vizuri ccm ina nafasi kubwaya kushinda!
 
Mbona bado unandoto za Unapetism...... Mie binafsi naona mnaunda KIKOSI CHA WACHIMBA KABURI la CCM
 
Back
Top Bottom