Operation Chaos: Lowassa, Chenge, Rostam et al; Don't Quit CCM!

So far there is no evidence whatsoever put forth by the ruling party that you are the most corrupt members of the part. No one has accused you publicly or has even claimed that there is enough evidence to warrant your removal from the party. At least the Mwakyembe's report had some resemblance of credible allegations especially againt EL and RA but not this so called "skin shedding".

For this reason, I believe you will do your part and your supporters a huge favor and justice by not resigning from any party position and as a matter of fact any measure that will be taken against you should be met with a forceful and precise response.

They have failed to even name you in their public report of the party, they failed to level any credible allegation beside saying "these people have been named by a number of citizen and media that they are involved in corruption".

If you agree to resign you will infact prove without any doubt that you are the most corrupt CCM members ever! By resigning or quitting the party the allegations that have been on your tails for sometimes now will need no further proof. You will go down in history as the most corrupt public officials ever to have hold power.

Are you? Well CCM believes that you are to warrant the resignation of both the Central Committee and the Secretariat. If you resign or quit within the 90 days the answer will be in the affirmative.

I know for sure one thing after 90 days CCM will not do anything against you and still remain credible. They can't fire you, they can't just take your party membership without due quasi judicial course within the part as outlined in the CCM's own constitution or the Principles of Ethics guideline.

So.. stay put, enjoy your position, work like ever before and don't mind the new CCM leadership. They can't do a damn thing.

The point here, if Lowasa, Rostam and Chenge agree to be thrown under the bus and carry all ccm baggage the history will remember them as most corrupt public officials to be humiliated without any concrete evidence from their party and if ccm has evidence they should charge them and freeze their assets, if ccm force them out, Wananchi need also to force ccm to take them to court , we are tired with their political gimmick
 
Wakuu zangu,
Mimi yanishangaza sana kusikia CCM wanajivua gamba leo hii baada ya miaka mingi ya manung'uniko na mgawanyiko ndani ya chama. Kama mnakumbuka kabla ya uchaguzi uliopita niliwahi kusema JK anaweza kuwa mjinga lakini sidhani kama ni mjinga hivyo! - well kusema kweli ni mjinga kwani wakati ule alikuwa na kazi ndogo sana ya kujisafisha au kukisafisha chama sii leo hii. Ilikuwa rahisi kujivua gamba yeye na hizi tuhuma za kukumbatia Mafisadi hawa pacha ambao leo ndio imekuwa moto mkali na chama kinafanya kazi ya zimamoto...Kwa nini hakufanya hivyo ilipobidi, hata sielewi!

JK hakuwa na sababu ya kusubiri moto huu uwake kiasi hiki, na kibaya zaidi kuwa ni arson yaani waliuwasha makusudi kujitajirisha kisha leo baada ya kuteketea mali kibao za taifa ndio CCM wanakumbuka maji kuzima moto. Kwa kila hali ilitakavyokuwa kuondoka kwa RA EL na Chenge pasipo kufikishwa mahakamani hakuwezi kukiokoa chama unless wachukue hatua kubwa zaidi ya kuwafikisha mahakamani hata kama kesi zao zitachukua miaka 10 labda ndio CCM inaweza kurudisha nguvu yake kabla ya uchaguzi ujao.

Sasa tunapowaomba RA, EL na Chenge wasimame kidete kupinga kuenguliwa kwao, nadhani tunasahau kwamba ni CCM aliyeshika mpini hapa. Hawa pacha hawawezi kupinga maamuzi ya chama kwa sababu ndani ya mchezo wa utawala huu watakuwa protected na wanaweza kabisa kushiriki ktk mambo mengine ya kichama bila kupoteza utajiri waliokwisha iba.

Ifahamike tu kwamba tunacholilia wananchi ni mali walizo tufisadi na sii kuwepo kwao CCM au kutokuwepo ktk madaraka. Wakati CCM ilijipanga kuifisadi nchi yetu toka wakati wa Mwinyi na Azimio la Zanzibar. Wote hawa lengo lao ni kuiba wawezavyo kulijenga tabaka la mabillionea wa Kitanzania ambao ni viongozi wa CCM.. now who goes first ndio vita iliyooibuka ndani ya chama na kuzua makundi kwa sababu hawakupanga shift ya Utajirishi baina yao..

Pengine mgumu kati yao anaweza kuwa Lowassa kwa sababu anataka sana kuwa rais wa nchi hii ya Ufisadi, lakini kwa kuitazama picha hii huyu Co starring wa mchezo huu wa kuigiza lazima afe ili mchezo unoge kwa starring kumaliza na risasi ya mwisho. Kosa kubwa walilolifanya CCM ni kuwatosa watu hawa ndani ya mkutano wa chama, hivyo yaonyesha wanafukuzwa hata kama wakijiuzuru wenyewe maana hawatakiwi. Lakini kama JK au chama kingewaomba kujiengua kisiri au uteuzi mpya wa Presidaa, nina hakika wananchi tungesahau kama tulivyomsahau Mama Megji na Mafisadi wengineo..

Hili swala la kukataa kujiuzuru haliwezi kuwasaidia kitu kwa sababu hawatakiwi ktk uongozi na ndio maana wameagizwa kufanya hivyo...Vyoivyote vile ni lazima waondolewe kinamna na hakuna kesi kwa maagizo ya mzee wa kaya..Nani atakayedai sheria icukue mkondo wake ikiwa chama hakina ushahidi? huo ushahidi wa kufikishwa mahakamani utatoka wapi kama chama tawala kimewasamehe tayaris..

Hivyo mkuu wangu hili ndio changa la macho! wakati nyie mnafurahia kuondolewa kwa hawa jamaa chama kimeshapiga mahesabu kuondoa kesi au mashtaka ya aina yeyote dhidi yao au viongozi wengine..Kweli sisi sote tungependa sana kuwaona CCM wakipelekana mbali hadi mahakamani kama itabidi lakini mimi nijuavyo huu mchezo wote umepangwa kabla kabisa ya vikao vya chama kufanyika na wanajua mwisho wa sinema nzima mapema kwani wao ndio waandishi, madirector na Producer.. Kujivua gamba kwa CCM ni kuondokana na tuhuma za Ufisadi wakati huo huo wakiwapa hifadhi ya kinga ndani ya NEC.

Lowassa na kundi hili la Mafisadi wanajua hawawezi kusafishika tena, ni wao waliofanya kampeni za JK mwaka 2005 na Lowassa ndiye alikuwa kinara wa uchaguzi wa wagombea wote kwa tiketi ya CCM mwaka 2010.. Hivyo pamoja na kwamba wamejijengea Uadui mkubwa sana toka wale waliotupwa nje, wakati huo huo wamepata umaarufu zaidi kwa wabunge karibu wote walioingia bungeni miaka ya hivi karibuni ukiondoa wachache ambao walisha jijengea majina..Hivyo mkuu wangu wataondoka na heshima kubwa ya chama na kuendelea kulindwa unless CCM itaangushwa huko mbeleni..
 
Mkuu;

Uchonganishi huo . . . LOL

What is going behind the Curtains now is believed kuwa Mkuu wa Kaya anawabembeleza jamaa yaishe.

Inasemekana jamaa "Pembe tatu pacha" aka RACHEL wana kete muhimu sana za kummaliza Mkulu.

Kama ni kweli, it remains to be seen. Time will tell. Time. timex.

Respect.

superman Heshima mkuu,

Umepotea sana mkubwa, tunakuhitaji

It is tricky and Risky for JK, ndo maana hana audacity to JETTISON RACHEL
 
The one behind this is a very genius brain ambaye hawezi shindwa hata siku mmoja. You know what Noa alipokuwa anajenga the arc wakati huo watu wenye knowledge mbali mbali walikuja na analysis ya kufa mtu kwamba wakati huu wa kiangazi mafuriko yaje Noa whats wrong with your brain? They asked. Wakati wa Moses Pharaoh akasema Moses wewe umwenye kigugumizi wewe niliye kulea na ujinga wako wote ninaufahamu uniambie haya hivi unajua nguvu nilizonazo? Then akawaacha waende akijua watakutana na bahari ya Shamu and guess what wakati huo Pharaoh akajiona ana akili kweli na Moses was very stupid taking that direction to escape what followed I need not to preach and a lot of examples are there to show us how serious some of us can mean whatever statement we choose to make. Narudia tena HAKUNA FISADI TANZANIA UNDER THIS REGIME ATAPONA. I said this three years a go rain came sun shined people thought I was dreaming and no body could hear this faint and un popular voice. Watch and see the best is yet to come, things are going to set themselves to back my statement and all shall know that there is no greater God in Tanzania than the God of Ame who is to be worshiped by all the living.

Mkapa mpaka leo bado anadunda mtaani pamoja na ushahidi wa wazi kabisa wa Kiwira. Ilipigwa dana dana then mambo yakawa sawa.

Chenge mpaka leo anadunda na huku kukiwa na ushahidi kibao wa deal ya Radar. Amefanywa nini?

Kulikuwa na kampuni kama 16 au zaidi ambazo zilihusika na wizi wa EPA, zilizo mahakamani ni nusu ya hizo na kesi zenyewe zinasua sua na hakuna cha maana kinachoendelea.

JK akijua wazi kwamba Mramba ana kesi ya ufisadi, alidiriki kumpigia kampeni kwa kusema kesi iliyo mahakamani ni ndogo sana na jamaa atashinda. Sasa kama Mramba atashinda, why serikali ilipeleka kesi mahakamani?

JK bila aibu alisema kwamba watuhumiwa wa EPA warudishe hela na baada ya hapo wakapewa msamaha wa kutopelekwa mahakamani. Hivi kweli kwa wazingira hayo ndio unategemea ufisadi uishe. Hilo pekee lilikuwa ni dalili tosha kwamba jamaa anawaogopa mafisadi na ndio maana hawezi hata kuwataja kwa majini pamoja na kwamba ushahidi wote anao.

Hivi unaweza kuamini kwamba mwenye KAGODA hajulikani? Ni nani alifungua accounts za KAGODA na nani alikuwa anakwenda kuchota michuzi ya KAGODA kwenye matawi ya CRDB walikofungua? Kwanini hawakuwauliza hao ili waseme KAGODA ni nani? Bado unataka kusema ufisadi utaisha na ili hali kuna mfumo ambao kazi yake ni kulinda ufisadi ili wenyewe wasijulikane?

Ni ufisadi upi ambao unaousema kwamba waliofisadi hawatabaki salama kwenye regime ya JK?

Sijaona kesi hata moja ya ufisadi ambayo ina mwelekeo wa serikali kushinda. Kesi zote zinapelekwa kisiasa siasa tu ili angalau kurudisha imani kwa wananchi.

Mimi ni mmoja wa watu ambao wanapingana na wewe kwenye hiyo bold hapo juu. Kama jamaa angekuwa serious angeanzia na hizo deals ambazo zilikuwa wazi kabisa.
 
Wakuu zangu,
Mimi yanishangaza sana kusikia CCM wanajivua gamba leo hii baada ya miaka mingi ya manung'uniko na mgawanyiko ndani ya chama. Kama mnakumbuka kabla ya uchaguzi uliopita niliwahi kusema JK anaweza kuwa mjinga lakini sidhani kama ni mjinga hivyo! - well kusema kweli ni mjinga kwani wakati ule alikuwa na kazi ndogo sana ya kujisafisha au kukisafisha chama sii leo hii. Ilikuwa rahisi kujivua gamba yeye na hizi tuhuma za kukumbatia Mafisadi hawa pacha ambao leo ndio imekuwa moto mkali na chama kinafanya kazi ya zimamoto...Kwa nini hakufanya hivyo ilipobidi, hata sielewi!

JK hakuwa na sababu ya kusubiri moto huu uwake kiasi hiki, na kibaya zaidi kuwa ni arson yaani waliuwasha makusudi kujitajirisha kisha leo baada ya kuteketea mali kibao za taifa ndio CCM wanakumbuka maji kuzima moto. Kwa kila hali ilitakavyokuwa kuondoka kwa RA EL na Chenge pasipo kufikishwa mahakamani hakuwezi kukiokoa chama unless wachukue hatua kubwa zaidi ya kuwafikisha mahakamani hata kama kesi zao zitachukua miaka 10 labda ndio CCM inaweza kurudisha nguvu yake kabla ya uchaguzi ujao.

Sasa tunapowaomba RA, EL na Chenge wasimame kidete kupinga kuenguliwa kwao, nadhani tunasahau kwamba ni CCM aliyeshika mpini hapa. Hawa pacha hawawezi kupinga maamuzi ya chama kwa sababu ndani ya mchezo wa utawala huu watakuwa protected na wanaweza kabisa kushiriki ktk mambo mengine ya kichama bila kupoteza utajiri waliokwisha iba.

Ifahamike tu kwamba tunacholilia wananchi ni mali walizo tufisadi na sii kuwepo kwao CCM au kutokuwepo ktk madaraka. Wakati CCM ilijipanga kuifisadi nchi yetu toka wakati wa Mwinyi na Azimio la Zanzibar. Wote hawa lengo lao ni kuiba wawezavyo kulijenga tabaka la mabillionea wa Kitanzania ambao ni viongozi wa CCM.. now who goes first ndio vita iliyooibuka ndani ya chama na kuzua makundi kwa sababu hawakupanga shift ya Utajirishi baina yao..

Pengine mgumu kati yao anaweza kuwa Lowassa kwa sababu anataka sana kuwa rais wa nchi hii ya Ufisadi, lakini kwa kuitazama picha hii huyu Co starring wa mchezo huu wa kuigiza lazima afe ili mchezo unoge kwa starring kumaliza na risasi ya mwisho. Kosa kubwa walilolifanya CCM ni kuwatosa watu hawa ndani ya mkutano wa chama, hivyo yaonyesha wanafukuzwa hata kama wakijiuzuru wenyewe maana hawatakiwi. Lakini kama JK au chama kingewaomba kujiengua kisiri au uteuzi mpya wa Presidaa, nina hakika wananchi tungesahau kama tulivyomsahau Mama Megji na Mafisadi wengineo..

Hili swala la kukataa kujiuzuru haliwezi kuwasaidia kitu kwa sababu hawatakiwi ktk uongozi na ndio maana wameagizwa kufanya hivyo...Vyoivyote vile ni lazima waondolewe kinamna na hakuna kesi kwa maagizo ya mzee wa kaya..Nani atakayedai sheria icukue mkondo wake ikiwa chama hakina ushahidi? huo ushahidi wa kufikishwa mahakamani utatoka wapi kama chama tawala kimewasamehe tayaris..

Hivyo mkuu wangu hili ndio changa la macho! wakati nyie mnafurahia kuondolewa kwa hawa jamaa chama kimeshapiga mahesabu kuondoa kesi au mashtaka ya aina yeyote dhidi yao au viongozi wengine..Kweli sisi sote tungependa sana kuwaona CCM wakipelekana mbali hadi mahakamani kama itabidi lakini mimi nijuavyo huu mchezo wote umepangwa kabla kabisa ya vikao vya chama kufanyika na wanajua mwisho wa sinema nzima mapema kwani wao ndio waandishi, madirector na Producer.. Kujivua gamba kwa CCM ni kuondokana na tuhuma za Ufisadi wakati huo huo wakiwapa hifadhi ya kinga ndani ya NEC.

Lowassa na kundi hili la Mafisadi wanajua hawawezi kusafishika tena, ni wao waliofanya kampeni za JK mwaka 2005 na Lowassa ndiye alikuwa kinara wa uchaguzi wa wagombea wote kwa tiketi ya CCM mwaka 2010.. Hivyo pamoja na kwamba wamejijengea Uadui mkubwa sana toka wale waliotupwa nje, wakati huo huo wamepata umaarufu zaidi kwa wabunge karibu wote walioingia bungeni miaka ya hivi karibuni ukiondoa wachache ambao walisha jijengea majina..Hivyo mkuu wangu wataondoka na heshima kubwa ya chama na kuendelea kulindwa unless CCM itaangushwa huko mbeleni..

Mukandara Heshima yako mkubwa,

Huoni kwamba ccm are playing a risk game? hapa ndipo CHADEMA wanapopotea njia kwani agenda ya ufisadi ni ya kwao hivyo wanatakiwa kuhamasisha umma wawashinikize CCM wawapeleke mahakamani RACHEL na ku freeze their assets kama walivyomfanyia mubaraka na watoto wake Egypty, CHADEMA need to keep giving ccm no choice umma ukihamasika na kutaka hawa mafisadi wapelekwe mahakamani na asset zao ziwe frozen, CHADEMA will be on top of ccm game.

Please CHADEMA, agenda yenu ya ufisadi imezaa matunda, but you need to finish the game now, msiwape ccm nafasi ya kuiteka agenda hii kwa Gimmick zao, tuhamasisheni wananchi tuwashinikize ccm wa freeze assets zote za RACHEL na wafikishe mahakamani, let us stand firm on this na KAMWE tusionekane kama tunawatetea RACHEL, hiyo inawapa talking point ccm kuwa tunawatetea mafisadi.
 
So u are now defending the triplets!!!? Are u worried that CCM are now getting stronger by their move to oust the three? Opposition parties should bank their growth on better alternative policies, rather than wait and capitalize on CCM's mistakes.

No.. sir.. tunaweka rekodi wazi tu kuwa hao watatu hawajaondolewa na hadi hivi sasa hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwaondoa CCM ndio maana wanawabembeleza watoke. Ndio maana wengine tunasema wabakie humo humo tuone nani atakuwa na ujasiri wa kuwaondoa kwa nguvu.
 
JK hakuwa na sababu ya kusubiri moto huu uwake kiasi hiki, na kibaya zaidi kuwa ni arson yaani waliuwasha makusudi kujitajirisha kisha leo baada ya kuteketea mali kibao za taifa ndio CCM wanakumbuka maji kuzima moto. Kwa kila hali ilitakavyokuwa kuondoka kwa RA EL na Chenge pasipo kufikishwa mahakamani hakuwezi kukiokoa chama unless wachukue hatua kubwa zaidi ya kuwafikisha mahakamani hata kama kesi zao zitachukua miaka 10 labda ndio CCM inaweza kurudisha nguvu yake kabla ya uchaguzi ujao.

mzee hii inaitwa hekima hapa... ni maneno mazito sana. Na yes sir ulisema kweli.
 
Mkuu Mkandara,

Ninakusoma sana na kukuelewa vyema na ninakubaliana na hoja zako. Mahali ambapo ninatofautiana na wewe ni sehemu moja tu, JK ndiye top wa CCM na ndiye mwenye final say kwenye maamuzi yaliyo mengi yawe ni ya CC au NEC. Mapungufu ya JK ni kwamba hana ujasiri wa kuwaweka kando hao jamaa zake. Ndiyo maana Lowassa alishasema kwamba urafiki wake na JK hawakukutana barabarani. Kilichopelekea mpaka JK kufika hapo alipo ni pressure kutoka ndani ya chama kwamba jamaa waondoke.

Nimejitahidi kufuatilia kwa ukaribu mjadala wa yaliyojiri kwenye CC na NEC, hakuna mahali JK alifungua mdomo kutaja mafisadi na ilihali anajua kila kitu kilichotokea. Cha maana alichosema ni kwamba watu wasimung'unye maneno, waseme kwa uwazi bila kuogopa. Hiyo ina maana kwamba alikuwa anakwepa lawama ili asije akaonekana ni mbaya. Swali langu ni hili: kwanini anawaogopa? Kama kweli yeye kashika mpini na ndiye Rais wa nchi kwanini awaogope?

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alishawahi kutamka wazi kwamba mafisadi inabidi serikali iende nao taratibu maana wana ukwasi mkubwa sana na kama wakiendewa kwa pupa nchi inaweza isitawalike. Maneno yanayofanana na hayo yalitamkwa na IGP. Sasa kama Waziri Mkuu na IGP wanawaogopa mafisadi, hao mafisadi wana nini haswa ambacho kinaitisha serikali?

Kwa hiyo pamoja na kwamba CCM ndio chama tawala na ndio kimeshika mpini, mwenyekiti wake hana ujasiri wa kuwatosa hao jamaa. Hivyo ninaungana na wale wanaosema jamaa wakomae ndani ya chama tuone watafanywa nini.

Lowassa na Rostam hawana incentive ya kutoka kwenye chama kwa kuwa kuwepo kwao ndani ya chama kunawahakikishia usalama wao na mali zao. Wakikubali kutoka sidhani kama wataendelea kuwa salama, na hawawezi kuwa nguvu ambazo wamekuwa nazo miaka yote ya utawala wa JK. Kinachonifurahisha ni kitendo cha Nape Nnauye kuendelea kuwasema, nasubiri mzee wa kususa (Lowassa) aje aseme amedhalilishwa sana kwenye majukwaa kwamba yeye ni fisadi.

Kinachoendelea ndani ya CCM ni mtaji kwa wapinzani na utakuwa mtaji mkubwa sana iwapo hao mafisadi watagoma kuondoka kwenye chama.
 
The point here, if Lowasa, Rostam and Chenge agree to be thrown under the bus and carry all ccm baggage the history will remember them as most corrupt public officials to be humiliated without any concrete evidence from their party and if ccm has evidence they should charge them and freeze their assets, if ccm force them out, Wananchi need also to force ccm to take them to court , we are tired with their political gimmick

Now you are talking!!.. agree 100%
 
So far there is no evidence whatsoever put forth by the ruling party that you are the most corrupt members of the part. No one has accused you publicly or has even claimed that there is enough evidence to warrant your removal from the party. At least the Mwakyembe's report had some resemblance of credible allegations especially againt EL and RA but not this so called "skin shedding".

For this reason, I believe you will do your part and your supporters a huge favor and justice by not resigning from any party position and as a matter of fact any measure that will be taken against you should be met with a forceful and precise response.

They have failed to even name you in their public report of the party, they failed to level any credible allegation beside saying "these people have been named by a number of citizen and media that they are involved in corruption".

If you agree to resign you will infact prove without any doubt that you are the most corrupt CCM members ever! By resigning or quitting the party the allegations that have been on your tails for sometimes now will need no further proof. You will go down in history as the most corrupt public officials ever to have hold power.

Are you? Well CCM believes that you are to warrant the resignation of both the Central Committee and the Secretariat. If you resign or quit within the 90 days the answer will be in the affirmative.

I know for sure one thing after 90 days CCM will not do anything against you and still remain credible. They can't fire you, they can't just take your party membership without due quasi judicial course within the part as outlined in the CCM's own constitution or the Principles of Ethics guideline.

So.. stay put, enjoy your position, work like ever before and don't mind the new CCM leadership. They can't do a damn thing.

Mwanakijiji are you serious on this?
i tend to believe you are focusing to opposition camp interests
 
Very doubtful that CCM's strength rests soley on the move to oust the three. If you analyse properly you will notice that the current CCM resembles something of a collection of 'splinter groups' each with enough ammunitions to destory the other. Who will shoot who? and at the expense of who? ...More popcorn please...make it extra large!

Nimecheka si utani.. do you want butter with that?
 
Yaani sa ndipo nimeamin Mkjj ana lake jambo.si we juzi tu ukipiga kelele nyingi za mafisadi lowasa na aziz?ukatoa evidence lukuki za kuwakandamiza nami nakumbuka siku moja tulibishana sna mi nhkiwatetea NOw BILA AIBU UNAPIGA ABOUT TURN. Huo ni UNAFIKI wa kiwango cha kimataifa,dah hivi we mzee huoni aibu?
Kwa hiyo evidence zako ulizitengeeza?
Sasa nkumbe we ujuwe jamaa watawajibka UPENDE USIPENDE .wakileta kujua WATAJUTA
 
Huu dhahiri ni uchochezi wa CDM dhidi ya CCM. Hawaii Jamaal mnawadanganya bure, walikuwemo katika vikao vilivyoamua, hivyo walikua na fursa ya kujitetea. Hawajatakiwa kuondolewa uanachama wala ubunge, kuwaambia wasjitoe n kuwadanganya kwa vile watafukuzwa baada ya siku. 90, ms hapo uchochezi wenu utafikia tamati na Jamaal watabaki waathirika wakubwa.
 
Well you said MM!!In other way wanadanganya toto nakuwapumbaza watanzania hasa watakapo sikia majina nguli wametolewa katika sekritalieti watajua kweli ccm imedhamilia kumbe niwenzao!!!Kweli mwenye nacho aambiwi tazama!!
 
ukatoa evidence lukuki za kuwakandamiza nami nakumbuka siku moja tulibishana sna mi nhkiwatetea NOw BILA AIBU UNAPIGA ABOUT TURN. Huo ni UNAFIKI wa kiwango cha kimataifa,dah hivi we mzee huoni aibu?
Kwa hiyo evidence zako ulizitengeeza?
Sasa nkumbe we ujuwe jamaa watawajibka UPENDE USIPENDE .wakileta kujua WATAJUTA

sasa wewe ulikuwa unawatetea na sasa unataka watoke? Nani ambaye amegeuka. Halafu ukisoma utaona sijasema kuwa ni watu safi au viongozi wazuri. Take time to read usisome ukafikiria nimesema nini zaidi ya kile nilichokisema. Ulitakiwa unishukuru kwa kutetea kuwa wabakie humo humo CCM kitu ambacho wewe mwenyewe unasema uliona hawana tatizo.
 
Huu dhahiri ni uchochezi wa CDM dhidi ya CCM. Hawaii Jamaal mnawadanganya bure, walikuwemo katika vikao vilivyoamua, hivyo walikua na fursa ya kujitetea. Hawajatakiwa kuondolewa uanachama wala ubunge, kuwaambia wasjitoe n kuwadanganya kwa vile watafukuzwa baada ya siku. 90, ms hapo uchochezi wenu utafikia tamati na Jamaal watabaki waathirika wakubwa.

Hakuna mtu ndani ya CCM anaweza kuwafukuza. Ndio maana hata kuondoka ilibidi itumike Gia ya "kujiuzulu Kamati Kuu na Sekretariati". Kama kweli walitaka kuwashughulikia na walikuwa wanawajua kwanini hawakusema tu Bw. x, Bw. Y, na Bw. Z tunataka mjiuzulu mara moja". Yaani kwa kutaka ndizi moja ndio wameamua kukata mgomba mzima?
 
So far there is no evidence whatsoever put forth by the ruling party that you are the most corrupt members of the part. No one has accused you publicly or has even claimed that there is enough evidence to warrant your removal from the party. At least the Mwakyembe's report had some resemblance of credible allegations especially againt EL and RA but not this so called "skin shedding".

For this reason, I believe you will do your part and your supporters a huge favor and justice by not resigning from any party position and as a matter of fact any measure that will be taken against you should be met with a forceful and precise response.

They have failed to even name you in their public report of the party, they failed to level any credible allegation beside saying "these people have been named by a number of citizen and media that they are involved in corruption".

If you agree to resign you will infact prove without any doubt that you are the most corrupt CCM members ever! By resigning or quitting the party the allegations that have been on your tails for sometimes now will need no further proof. You will go down in history as the most corrupt public officials ever to have hold power.

Are you? Well CCM believes that you are to warrant the resignation of both the Central Committee and the Secretariat. If you resign or quit within the 90 days the answer will be in the affirmative.

I know for sure one thing after 90 days CCM will not do anything against you and still remain credible. They can't fire you, they can't just take your party membership without due quasi judicial course within the part as outlined in the CCM's own constitution or the Principles of Ethics guideline.

So.. stay put, enjoy your position, work like ever before and don't mind the new CCM leadership. They can't do a damn thing.

Although I don't give damn about ccm I feel I need to add something here. Lowassa, Rostam and Chenge are you really corrupt more than Kikwete, Malecela, Makamba, Mkapa and Pinda? JK is looking for a away to clear his image and protect himself from Tanzanians. Kikwete's poor tactics are known everywhere, as usual things are falling and he wants to force you guys out to save who? Stay put so we know everyone is going down. Take ultimatum to JK and ccm, take down the party with you.

"There is no ccm if there no Rostam"​
 
Kweli ccm yote imeoza na rusha ni sera ta chama kwa hiyo si haki wawaonee hao wachache. Kikwete mwenyewe ni fisadi na ufisadi umemuweka madarakani. Nasahauri wawaache wangojee kuzama wote ka mv-bukoba. Pia tukumbuke mazuri ya mtu kama lowasa. Hakuna mwema ccm wote ni mafisi tu.
Unique
 
So far there is no evidence whatsoever put forth by the ruling party that you are the most corrupt members of the part. No one has accused you publicly or has even claimed that there is enough evidence to warrant your removal from the party. At least the Mwakyembe's report had some resemblance of credible allegations especially againt EL and RA but not this so called "skin shedding".

For this reason, I believe you will do your part and your supporters a huge favor and justice by not resigning from any party position and as a matter of fact any measure that will be taken against you should be met with a forceful and precise response.

They have failed to even name you in their public report of the party, they failed to level any credible allegation beside saying "these people have been named by a number of citizen and media that they are involved in corruption".

If you agree to resign you will infact prove without any doubt that you are the most corrupt CCM members ever! By resigning or quitting the party the allegations that have been on your tails for sometimes now will need no further proof. You will go down in history as the most corrupt public officials ever to have hold power.

Are you? Well CCM believes that you are to warrant the resignation of both the Central Committee and the Secretariat. If you resign or quit within the 90 days the answer will be in the affirmative.

I know for sure one thing after 90 days CCM will not do anything against you and still remain credible. They can't fire you, they can't just take your party membership without due quasi judicial course within the part as outlined in the CCM's own constitution or the Principles of Ethics guideline.

So.. stay put, enjoy your position, work like ever before and don't mind the new CCM leadership. They can't do a damn thing.

I like the way you have put it MM. In fact i know for sure that your interest is not actually to defend these people but you want them to be resistant so as to see what the party is going to do against them.There is one thing however that the party has put very clear; that it does not matter whether there is eveidence or not, as long as one is being mentioned by the public to be corrupt then that person should step out as this tarnishes the image of the party....i know it is tarnished enough...lol

We should also not forget the party polictics, inaweza kuwa kiini macho tu mkuu. Let's wait n see
 
sasa wewe ulikuwa unawatetea na sasa unataka watoke? Nani ambaye amegeuka. Halafu ukisoma utaona sijasema kuwa ni watu safi au viongozi wazuri. Take time to read usisome ukafikiria nimesema nini zaidi ya kile nilichokisema. Ulitakiwa unishukuru kwa kutetea kuwa wabakie humo humo CCM kitu ambacho wewe mwenyewe unasema uliona hawana tatizo.

kwanza.ujue mi si mwanasiasa,sina kadi wala mda wa kupiga kura kuwatetea bado nawatee mazee.kama mna evidence go the court.kinanishangaza we ulikua na evidence bado wasema wasijiudhuru kwa ufisadi lengo lako hapo ni WAZI UNATAKA CCM WAVUrugane chama kife mpate gap ya kula keki ya taifa.dah,ajab sana.
Msimamo wangu ni kuwa ntaendelea kuwaona lowasa,lostam..chenge innocent until proved guilt beyond doubt.kimahakama.
Kichama kama wanaombwa kuwajibka kwa hata shutma kunusuru chama it is ok
 
Back
Top Bottom