Operation Chaos: Lowassa, Chenge, Rostam et al; Don't Quit CCM!

So u are now defending the triplets!!!? Are u worried that CCM are now getting stronger by their move to oust the three? Opposition parties should bank their growth on better alternative policies, rather than wait and capitalize on CCM's mistakes.
 
If you know what Mwanakijiji is doing and you happy, clap your hands!

:clap2::clap2:
Pure Poetry! Kweli kabisa Mapacha watatu RACHEL wasiende kokote wabaki ndani ya CCM hawatawafanya kitu! Its just posturing, they are playing chicken with each other! Who will be first one to blink?
 
Hivi hizo barua ataandika nani na atasaini nani?
 
So u are now defending the triplets!!!? Are u worried that CCM are now getting stronger by their move to oust the three? Opposition parties should bank their growth on better alternative policies, rather than wait and capitalize on CCM's mistakes.

Very doubtful that CCM's strength rests soley on the move to oust the three. If you analyse properly you will notice that the current CCM resembles something of a collection of 'splinter groups' each with enough ammunitions to destory the other. Who will shoot who? and at the expense of who? ...More popcorn please...make it extra large!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
walipokuwa NEC na CC ya CCM tulisema CCM chafu
sasa wameondoshwa NEC na CC tunawaonea huruma

kesho watahamia CDM wataonekana wapiganaji

Weka record sawa ... hawajaondolewa kwenye NEC.

Hakuna anayewaonea huruma, tatizo ni kwamba CCM yenyewe imekurupuka ili ijisafishe lakini ni ngumu sana. Sofia Simba alishasema kwamba ndani ya CCM na serikalini hakuna aliye msafi, hii ina maana kwamba hata JK nae ni fisadi!

Huu ni usanii mwingine wa JK katika harakati za kukinusuru chama japo naona wapambe wake (UVCCM na Secretariat Mpya ya CCM) wanazidi kuongeza mpasuko.

Ninajua CCM haitawaandikia barua kwa kuwa tuhuma zao hazijachunguzwa na kuthibitika na ikapendekezwa kwamba wachukuliwe hatua zipi. Iwapo CCM watathibitisha tuhuma za ufisadi, maana yake itabidi hao jamaa washitakiwe na Jamhuri kwa kuwa walichofisadi ni mali ya umma. Tofauti na kesi za Malegesi (aliyekuwa Jumuiya ya Wazazi) na aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Singida ambao walifisadi mali za chama na hatimaye kuvuliwa madaraka.

Ugumu wa kuthibitisha ufisadi wa EL, RA na Chenge, ni kwamba tuhuma zao za ufisadi zilifanywa kwa kuwahusisha JK na Mkapa. CCM haiko tayari kuona mwenyekiti wake anaguswa na hizo kashfa na ndio maana hata "wapiganaji" kila siku walikuwa wanam-isolate JK kwamba yuko upande wao, lakini JK amehusika kwenye huo ufisadi kwa kiasi kikubwa sana na pia Mkapa naye mhusika mkuu kwenye sakata la EPA, Radar na nyinginezo ambazo zimewachafua hao jamaa.
 
Naona kweli watu mmewachoka CCM. Mnajua kabisa wameshikwa pabaya na wanatafuta mbinu za kujikwamua, nyie mnazidi kuwapa ushauri wa kuwasokomeza kwenye matatizo!
 
Kama ni Ngoma sasa ndio 'INOGILE' kwa mtazamo wangu anayosema MMK ni ambayo 'the triplet' will be planning to do and if I were their legal and popular adviser would have adviced them to do. Wandugu hivi hawa Nape na Chiligati wanabackground gani ya kuwakinga na 'Boomerang' effect ya maneno wanayoyatoa hadharani na mara nyingi kwa wahemea matumbo kwenye mikutano yao? Nimewasikiliza Nape na Chiligati kwenye Mkutano wao wa Iringa na Nilichokiona ni 'Utoto' usio na kifani. Ni ule usemi wa 'Mtu Mzima hatishiwi Nyau' ndio unaobainishwa. Wanagombezana na Mafisadi wasio na jina wala sura.
On serious Note "Do any sane person belive that the likes of EL, RA and AC could be pulled down by a move driven by these 'amateurs' in a political arena???" I can bet with my last shilling that these movements in V8 around the country is the last in glory for Nape and Chiligati...the 'capet' under their feet is sliding as they move. Am sorry for Nape because he is young and politics is his only investment and he is on the wrong side of the fence. Their party is making the Mokery of the people to their Peril. Eti 'watoto' wawashugulikie 'baba' zao. Matokeo tumeshayajua
 
Whats wrong if they prove that they are most corrupt people. Sometimes its the best to resign even though u r innocent, kupisha they are so called clean people to work properly for the sake of the public na chama ili watu wasipate sababu ya kupiga kelele. Mimi nawashauri wajitoe tu hata kama they are inocent kiasi gani Mungu aonaye sirini atawajazi.

kanavua gamba haka nako.
 
Mwanakijiji, I read U loud & Clear.

CCM wako kwenye catch-22. Wakiwatoa chama kitapata misukosuko sababu hawa mabwana ni watu wa visasi unless JK aamue kutumia nguvu alizonazo kuwamaliza kabisa kwa kuwapeleka mahakamani through PCCB.

Wakishindwa kuwatoa, CCM baada ya kujipachika jina la Magamba, wataulizwa magamba yaliyotoka yako wapi??

Jk utadhani sio Mwanajeshi, ilitakiwa kuwatosa hawa watu kwenye NEC ya juzi, lakini sasa amewapa 90 days za wao kujizatiti. Hii movie nashindwa hata kupredict itaisha vipi, lakini any ending ni PIGO kwa CCM.

Viva Tanzania
 
Hivi hizo barua ataandika nani na atasaini nani?

Swali ni je Mapacha Watatu wamepokea barua yoyote au wameambiwa tu kwa mdomo informally?
Hii siyo movie tena, bali ni SERIES kama Dallas na Days of Our Lives.. neverending story! :director:
 
Swali ni je Mapacha Watatu wamepokea barua yoyote au wameambiwa tu kwa mdomo informally?
Hii siyo movie tena, bali ni SERIES kama Dallas na Days of Our Lives.. neverending story! :director:
Mkuu,

Kuna taarifa kuwa wote watatu washatumiwa barua kwa 'dispatch' na kwa sasa wanajipanga. Pasaka au siku moja/mbili baadae wanaweza kuja kivingine.
 
Hivi hawa triplets ndo mafisadi pekee Tanzania au ni mchongo tu uliosukwa ili kuonyesha taswira ya kwamba CCM hakivumilii ufisadi na hawa wanaoitwa mapacha watatu wametolewa (kwa ridhaa yao) kafara tu?

Nauliza hivi kwa sababu kwa mtu yeyote mwenye akili za kawaida tu atatambua kuwa Tanzania nzima, ndani na nje ya CCM, na serikalini pia, mafisadi wanazidi watatu. Kwa maneno mengine mafisadi wako wengi. Sasa kwa nini tuzugike na hawa mapacha watatu kama vile hatujui yanayoendelea kuhusiana na ufisadi?

Sijui kuhusu nyinyi lakini mimi mwenzenu sijazugika hata kidogo na sitazugika ng'o kama ambavyo sitadanganyika.
 
Nasema Su!!

Lol

Tangu lini fisadi akamkamata fisadi mwenzie!? Tusubiri tuone kama historia itawekwa kwa fisadi kuwamakata mafisadi wenzie. Kwa maoni yangu hawa wanabwabwaja na kuendeleza usanii wao usiokwisha.

Mwanakijiji, I read U loud & Clear.

CCM wako kwenye catch-22. Wakiwatoa chama kitapata misukosuko sababu hawa mabwana ni watu wa visasi unless JK aamue kutumia nguvu alizonazo kuwamaliza kabisa kwa kuwapeleka mahakamani through PCCB.

Wakishindwa kuwatoa, CCM baada ya kujipachika jina la Magamba, wataulizwa magamba yaliyotoka yako wapi??

Jk utadhani sio Mwanajeshi, ilitakiwa kuwatosa hawa watu kwenye NEC ya juzi, lakini sasa amewapa 90 days za wao kujizatiti. Hii movie nashindwa hata kupredict itaisha vipi, lakini any ending ni PIGO kwa CCM.

Viva Tanzania

The one behind this is a very genius brain ambaye hawezi shindwa hata siku mmoja. You know what Noa alipokuwa anajenga the arc wakati huo watu wenye knowledge mbali mbali walikuja na analysis ya kufa mtu kwamba wakati huu wa kiangazi mafuriko yaje Noa whats wrong with your brain? They asked. Wakati wa Moses Pharaoh akasema Moses wewe umwenye kigugumizi wewe niliye kulea na ujinga wako wote ninaufahamu uniambie haya hivi unajua nguvu nilizonazo? Then akawaacha waende akijua watakutana na bahari ya Shamu and guess what wakati huo Pharaoh akajiona ana akili kweli na Moses was very stupid taking that direction to escape what followed I need not to preach and a lot of examples are there to show us how serious some of us can mean whatever statement we choose to make. Narudia tena HAKUNA FISADI TANZANIA UNDER THIS REGIME ATAPONA. I said this three years a go rain came sun shined people thought I was dreaming and no body could hear this faint and un popular voice. Watch and see the best is yet to come, things are going to set themselves to back my statement and all shall know that there is no greater God in Tanzania than the God of Ame who is to be worshiped by all the living.
 
Mwanakijiji, I read U loud & Clear.

CCM wako kwenye catch-22. Wakiwatoa chama kitapata misukosuko sababu hawa mabwana ni watu wa visasi unless JK aamue kutumia nguvu alizonazo kuwamaliza kabisa kwa kuwapeleka mahakamani through PCCB.

Wakishindwa kuwatoa, CCM baada ya kujipachika jina la Magamba, wataulizwa magamba yaliyotoka yako wapi??

Jk utadhani sio Mwanajeshi, ilitakiwa kuwatosa hawa watu kwenye NEC ya juzi, lakini sasa amewapa 90 days za wao kujizatiti. Hii movie nashindwa hata kupredict itaisha vipi, lakini any ending ni PIGO kwa CCM.

Viva Tanzania

Huyu ndio rais asiyejua wajibu wake, huwezi kumkamata mwizi then unamwambia arudishe mali aliyoiba. Kwanza baada ya kuona wameondolewa kwenye chama chake ilikuwa awaweke ndani wakisubiri mashitaka yao, lakini kwa sababu hana ubavu wataendelea kunsumbua kama wana nia hiyo, lakini hapa wa kulaumiwa ni m k w e r e, kwa sababu na yeye ni mshiriki wa ufisadi.
 
Quit ? and go where ? Because some loud-mouthed kid says so ? If one really wants to know what's behind the scene, just listen to young Nape Nnauye, poor kid ! Kwetu tunasema, kakuta ma....nde yake yanajaa kiganjani na bila tahadhari kaanza kupayuka na kudandia ya wakubwa. Kasahau 2008, kasahau 2009 na kasahau hadi mwaka jana 2010, kweli mtoto mtoto wa nyoka ni nyoka ! Kimya cha wazee kwenye haya maigizo yana kishindo jamani lakini Nape hata hashtuki !

Kikwete is in a big big dilemma folks and that exactly is where his adverseries wanted him to be and he, as expected, swallowed the bait, hook, line and sinker. He is now caught between a rock and hard place and if he thinks he is rid of them, he has another think coming. He had banked on support from some quarters, but alas, their silence is deafening save for an overzealous kid frothing from the mouth like a toothless bulldog - Makamba's incarnation ?

The so called "mapacha watatu" are going nowhere for CCM is their home, has always been their home and will continue to be their home unless, phew ! CCM is their refuge, their sanctuary and the only place where they, and their kind, can survive, thrive and prosper without giving a hoot who or what they step on. And if by some calculated manouver they have to relinquish it all, you can bet they wont go away easily and definitely not alone !

This is why it is so important that they hang on and I know some slow thinker may ask why ! It is because then we will have to dig only one hole to bury the filthy lot after picking up the pieces ! The mere thought of my beloved country without CCM is so so appealing........ I cant wait for them to die natural death. I bet that guy from Visiwani is the one who will be asked to sign those lettere if any and he, whats his name, like a Zombie will oblige !
 
Mnapoteza muda. Ikifika sabasaba mtapewa majina ya watu baki, yaani kama ile sinema ya EPA. Halafu mtaguna kidogo na kisha kusahau kama mlivyosahau filamu ya EPA, na kuwaacha masela wanadunda mtaani.
 
Mkuu,

Kuna taarifa kuwa wote watatu washatumiwa barua kwa 'dispatch' na kwa sasa wanajipanga. Pasaka au siku moja/mbili baadae wanaweza kuja kivingine.
Siwezi amini hadi nipate huhakika wa barua zenyewe na mwenye guts za kusaini maana Kikwete mwenyewe siku ya CC alipatwa na kigugumizi kuyataja majina itakuwa aweze kuandika barua.
 
There are currently 100 users browsing this thread. (28 members and 72 guests)
bila shaka hawa 72 guest ni makada wa ccm hawapatwi na usingizi na JF inawa entatein ,then kesho wanakuja kubwabwaja kuwa JF ni ya chadema, mm sio chadema. wameniudhi sana
 
Back
Top Bottom