Operamini Vs Uc broswer

middo

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
207
56
Wadau naombeni kujua kwa simu ipi ni nzuri kati ya operamini na Uc browser na nikivipi?
 
kama ni kwa web browsing ni opera coz ni fast na ina minimize pages so it saves cosr, lakini ka we ni bingwa wa kudownload chukua uc browser coz ni faster kwenye kudownload na hata kama simu itazima ina save then ukiwasha una iamuru iendelee. KAMA VIPI TUMIA ZOTE COZ HAZIUZWI
 
YANI UC BROWSER HAINA MPINZANI HASA UC BROWSER HANDLER coz many features kama image viewing,inaeka history sana,kama kawa kwenye dowloading ni noma!
 
Nimetumia operamini nyingi kuanzia java,symbian mpaka android but I DARE TO SAY THAT UC WEB BROWSER IS BETTER THAN OPERAMINI.Try...
 
Nimetumia operamini nyingi kuanzia java,symbian mpaka android but I DARE TO SAY THAT UC WEB BROWSER IS BETTER THAN OPERAMINI.Try...

Nakusapoti Mkuu watanzania waachane na OPERA kwanza multitask yenyewe inapigwa gap kubwa na UC BROWSER
 
Mimi zote nimetumia sana kwakweli kila moja ina uzuri wake. Ila bado naona opera ni zaidi ya uc.
Bonyeza HAPA
 
kwangu opera is the best natumia version 6.5.27035
 
Uc Browser ni kali zaidi iwe kwa simu ndogo au kubwa sema tu kama hauna kifurushi inakata hela kuliko Opera.
 
Back
Top Bottom