opera mini next

Mkwawa umeleta kitu cha maana sana kwenye teknolojia ya simu hapa Afrika, asante maana kwa sasa nakamua application za kisasa kuliko zamani. Hii kweli ni operamin next level.
 
Opera Min Next inafanya kazi vizuri, ila nikizima simu, nikaiwasha tena, huwa haifunguki, inabidi ni-install upya. Niki-install upya na kuifungua automatically narudi kwenye ukurasa nilipokuwa. Natumia Nokia E61!, naomba msaada nini tatizo. Ni hayo tu!

Sjajua tatizo ni opera au simu yako ila kama nilivosema hapo juu hii application haijakua officially released ndo mana hata kwenye store za app haipo now imeekwa ili watu waitest zikitokea bugs kama hizo watu waziriport then opera watazifanyia kazi ili ikiwa officialy released zisiwepo hizo bugs
 
Back
Top Bottom