Opera mini katika simu

N series

Senior Member
Jul 14, 2011
170
14
Wakuu msaada wa ku instal opera mini kwenye simu za Samsung chat Model GT- E2222 taratibu ziko je??
manake nimejaribu ila inanishinda, msaada wenu naombeni
 
Wakuu msaada wa ku instal opera mini kwenye simu za Samsung chat Model GT- E2222 taratibu ziko je??
manake nimejaribu ila inanishinda, msaada wenu naombeni

mkuu mi ndo natumia hii modeli y simu na natumia opera mini kama kawida. yeah nenda mini.opera.com ila download v4.2 maana ndio inayokubali. vilevile nakushauri udownload uc browser ambayo pia iko fast na ina option ya kuresume downloads na unaweza ku download vitu hata 5 per once
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom