Open university

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Vp wanajf nadhani mu wazima kwani Mungu aliye hai yupo pamoja nac
Jamani vp Open University wameshaanza kuita watu kwa ajili ya Interview kwenye nafasi za kazi mbalimbali walizozitoa Juzi ambapo deadline ilikuwa 14th september,
.
Ahsanten Wanajf.
 
Nadhani itakuwa bado kwa sababu deadline iliongezwa hadi trh 27, kuwa na subira mkuu ni mimi pia nasubiri.
 
Back
Top Bottom