Open university acheni ubabaishaji

Sep 30, 2012
21
15
Mmetoa tangazo kwamba mtatuletea majina ya watakaomaliza chuo na kuwepo kwenye mahafali tarehe 16 Oktoba 2012. Mbona mpaka leo hii majina hayajatoka? Mnategemea sisi tuliopo Kigoma tukipata majina hayo siku 5 kabla tutawezaje kuja kuhuddhuria? Mbona mnazidi kutunyanyasa, matokeo yetu yenyewe tunafuatilia mwaka nenda rudi na bado mnayatoa mpendavyo ninyi. Mtu assignments zake na test mnazo lakini hamziweki kwenye SARIS. Mkoje ninyi?
 
pole sana. Mimi ni 3rd year sijapata usumbufu wowote i thank God. Bt kama unajua uko complete bora upande kwa DRC Ili akufanyie mawasiliano na head office DSM. Nyie wa enzi za assignment malalamiko yapo mengi sana. Urs OUT Scholer.
 
Back
Top Bottom