Open Subtitles Player

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
wakuu, hii player ni nzuri sana ina rich features nyingi ni kikubwa ni kwamba unaweza kupata subtitle ya muvi yeyote unayoichek hata kama sio ya kingereza. hapa naangalia muvi a kijapan inaitwa Shinobi kwa kutumia hii player, napata subtitle frsh 2/Enjoy it guys: Open Subtitles MKV Player - Free DivX, avi, wmv, youtube player!
 
sijkuelewa mkuu...yaani inatoa subtitle hata kama muvi haikuwa na subtitle ama!?
 
wakuu, hii player ni nzuri sana ina rich features nyingi ni kikubwa ni kwamba unaweza kupata subtitle ya muvi yeyote unayoichek hata kama sio ya kingereza. hapa naangalia muvi a kijapan inaitwa Shinobi kwa kutumia hii player, napata subtitle frsh 2/Enjoy it guys: Open Subtitles MKV Player - Free DivX, avi, wmv, youtube player!

mkuu jana nilidownload nzuri cana nikala movies 3 zilizotafsiriwa in simple language
 
ila kuna kitu nimegundua hapa, kuna baadhi ya file haifungui inadai codecs kwanza na wanakupa option ya kuupdate kupitia live update tu ya program yao na mbaya zaidi ili ufanikiwe inabidi ulipie ndo u update....sijui kama kuna mwingine amekutana nalo hili?
 
Back
Top Bottom