Open Space mbele ya Palm Beach Hotel!

Kuna tetesi kuwa ule uwanja wa wazi mbele ya Palm Beach Hotel Sea View,umekwapuliwa na familia ya Mkulu... Baada ya matokeo umezungushwa ukuta.

hebu chunguzeni kwanza bana. wananchi wanaoishi kigamboni wameuzwa kwa wawekezaji, lukuvi akaanzisha vita ya viwanja vya wazi kinondoni, na sasa wanachukua wenyewe hii. yaani huu utawala hauna trend maalum
 
Usiwe unaandika mambo ambayo huna data nayo,watu watakudharau, Ule haukuwa uwanja wa wazi, kilikuwa ni kiwanja. na kilikuwa na kesi tangu mwaka 1998, kati ya city na marehemu Wakili MUKADAM, Kesi imekwisha mwaka 2009,lakini wakati kesi inamalizika mzee MUKADAM alikuwa ameshafariki kwa hiyo kesi ilikuwa inaendeshwa na mwanae anaeitwa TAHER MUKADAM, kwa hiyo kwa sasa hivi kile kiwanja ni mali ya TAHIR MUKADAM, USIWE NA WIVU WA KIKE
Nashukuru major inaonekana uko more informed kwenye hili..hivi kimekuwa created kipindi cha miaka ya 90 au tangu enzi hzo za 1980?
 
Ni unyang'anyi, ubeberu na wizi wa ajabu nimesoma MWANAHALI YA JANA wizi kama huo umefanyika Arusha pia, wanatumia mgongo wa amani kutuibia kila kitu -bullllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllshit -am not happy i feel like dying.
 
Usiwe unaandika mambo ambayo huna data nayo,watu watakudharau, Ule haukuwa uwanja wa wazi, kilikuwa ni kiwanja. na kilikuwa na kesi tangu mwaka 1998, kati ya city na marehemu Wakili MUKADAM, Kesi imekwisha mwaka 2009,lakini wakati kesi inamalizika mzee MUKADAM alikuwa ameshafariki kwa hiyo kesi ilikuwa inaendeshwa na mwanae anaeitwa TAHER MUKADAM, kwa hiyo kwa sasa hivi kile kiwanja ni mali ya TAHIR MUKADAM, USIWE NA WIVU WA KIKE

Nimedharaulika saaana kwa kupandikiziwa Rahisi... Itakuwa hapa JF!!!??? Sahau!!! Haya NYAKUENI NA ILE Ettienes najua mnaitolea udenda!!! Mnasubiri Ben na Rupia wawe vikongwe au watangulie!!!... Oooh those Upanga days ... Lile duka pale Upanga zamani USHIRIKA peaneni... Ile TTCL pale opp. na Diamond tangazeni palikuwa kwa nannhiii... Twaeeeniii
Ule uwanja wa kujifunzia magari O'bay Chole na Kaunda zamani Parking za US Embassy CHUKUENI!!!
 
WILL,someone elaborate-huu uwanja ni kwenye parking ya palm beach hotel which doubles up as a short cut towards jeshini/magore rd au ni wapi exactly me is a bit confused
 
Nimedharaulika saaana kwa kupandikiziwa Rahisi... Itakuwa hapa JF!!!??? Sahau!!! Haya NYAKUENI NA ILE Ettienes najua mnaitolea udenda!!! Mnasubiri Ben na Rupia wawe vikongwe au watangulie!!!... Oooh those Upanga days ... Lile duka pale Upanga zamani USHIRIKA peaneni... Ile TTCL pale opp. na Diamond tangazeni palikuwa kwa nannhiii... Twaeeeniii
Ule uwanja wa kujifunzia magari O'bay Chole na Kaunda zamani Parking za US Embassy CHUKUENI!!!

TuskerBariiiiiiiiiiiidi,

Leo mbona una hasira saaaaaaaaaaaana??

Pata Tusker moja kwanza! Hawa jamaa watakuchosha tu! Wakili Maarufu anaendesha KESI YA KIWANJA mpaka anakufa!

Mafisadi wanakuwa na visingizio kwelikweli - All of sudden here comes Mucadam Jr!
 
tuskerbariiiiiiiiiiiidi,

leo mbona una hasira saaaaaaaaaaaana??

Pata tusker moja kwanza! Hawa jamaa watakuchosha tu! wakili maarufu anaendesha kesi ya kiwanja mpaka anakufa!

Mafisadi wanakuwa na visingizio kwelikweli - all of sudden here comes mucadam jr!

such a drama!
 
TuskerBariiiiiiiiiiiidi,

Leo mbona una hasira saaaaaaaaaaaana??

Pata Tusker moja kwanza! Hawa jamaa watakuchosha tu! Wakili Maarufu anaendesha KESI YA KIWANJA mpaka anakufa!

Mafisadi wanakuwa na visingizio kwelikweli - All of sudden here comes Mucadam Jr!

Yaaani... Hiii nchi hiii... Mucadam family wapewe mahali pengine... Au Riz ni mtoto wa Mucadam...
 
Yaaani... Hiii nchi hiii... Mucadam family wapewe mahali pengine... Au Riz ni mtoto wa Mucadam...
mKUU, unapoteza muda wako bure, kama Mucaddam jr. ameamua kumuuzia riz1... so be it!! swali la msingi ni kujua mtaji huo wa mabilioni riz1 kautoa wapi?

Tusifufue marehemu bila sababu ya msingi, kwani hawafufukagi
 
Unajua majengo ya sea cliff ni ya akina karume?gold tulip ya mwinyi?hujiulizi mbona wao tuu wamejenga ukingoni baharini?kinondoni nao walipouza vile vya katikati ikawa noma ndipo lukuvi akatuliza kelele!
 
hotelview.jpg

Uwanja wa wazi[open space] ulio mbele ya hotel hii ya kitalii iliyopo upanga ,ALI HASSAN MWINYI ROAD ,ni pale ambako wakazi wa jiji mnafahamu taxi zilikuwa zinapaki .....na kuna kichochoro cha kwenda makao makuu ya jeshi.
Hata wenye hoteli hiyo wamebakiwa na kauchochoro kadogo tu ka kupaki magari......na imeharibu mandhari kabisa ya eneo hilo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likitunzwa kama eneo la wazi linalotazamana na bustani nyingine ya jiji iliyopo Prsyberian church kwenye mataa ya upanga ......inatia aibu sana ..

Naomba tufuatilie kuona nani ameuziwa pale na tayari ameweka ukuta ..nadhani anasubiri kuanza ujenzi,,,,..ni wazi atakuwa ni mtu ambaye yupo connected ...na ametumia vema muda ambao kila mtu alikuwa busy na habari za uchaguzi kujijengea ukuta haraka haraka.....HII IWE AJENDA YA KWANZA YA MADIWANI WA JIJI WAWE WA CCM AU CHADEMA ..KURUDISHA MAENEO YA WAZI MFANO YA HILI....NI WAZI KUNA UFISADI MKUBWA WA AINA HII.
 
yaani hawana aibu kabisa, na pale!

Ndivyo mpita njia ni hapo ....yaani inatia aibu ...hawa watu hawaoni hata aibu na uchaguzi huu....unavyoona kwenye picha sehemu ya wazi ilikuwa takribani heka moja SASA UKUTA UMEWEKWA HADI USAWA WA HOTELI..........yaani hata mtoto mdogo atawashangaa hao watu wa ardhi na mipango miji..kupora uwanja wa wazi mkongwe kama ule.....shame shame.....na unaambiwa kwenye kusaaka pesa za kampeni ..wakubwa walipora sehemu kibao za wazi.....huu ulikuwa muendelezo nchi nzima kule arusha mmeshaambiwa walivyogawana BURKA ESTATES....hapa dar ulikuwa ni mwendo wa open spaces.......lazima tutampata mmiliki tu na atakuwa ni kati ya hao hao...

LA MUHIMU WAKAZI WA DAR SEMENI HAPANA KWA OPEN SPACE YA PALM BEACH - UPANGA!!!...tutakuwa na mji wa aina gani .....mimi nilidhani wamekoma!....Kuna viwanja zaidi ya 100 vya wazi vimeporwa kwa mwaka huu pekee.....mnakumbuka sakata la kinondoni meya londa..,na Lukuvi baada yaa kudhulumiana mgawo ...lukuvi akajifanya amemjeuka..?? lao lilikuwa moja ndoo maana hadi sasa hatujaambiwa hatima ya open space 100 zilizoporwa kuanzia oysterbay hadi temeke....na haraka wavamizi wamejenga ,kama huyu!!!
 
Hivi open space za ilala hazikuwa katika lile sakata la kisiasa la William Lukuvi? Au alipambana tu na zile ambazo hakukatiwa mshiko? Au alianzisha lile sakata ili waliokuwa wamenunua wakamkatie mshiko?
 
Back
Top Bottom