Open-space Jangwani: Kikwete adanganywa tena!?

Mnamuonea tu kwa Sababu ni Muislaam.

Mbona hata JKN alikuwa akidanganywa na kuropoka na hamkusema?

Mnashambulia sana Viongozi Waislaam, Wagalatia nyie!!!!

carelessness.jpg
 
namna hiyo atakumbuka kweli kuwa kuna watanzania baada ya miaka 50 ya uhuru hawana huduma ya maji,afya,umeme na elimu bora?akiambiwa leo dizeli lita sh 6000 kasulu atashangaa
 
Mnamuonea tu kwa Sababu ni Muislaam.

Mbona hata JKN alikuwa akidanganywa na kuropoka na hamkusema?

Mnashambulia sana Viongozi Waislaam, Wagalatia nyie!!!!

carelessness.jpg

Mungu wangu, yani ubovu wa rais wetu unaufumbia macho kisa ni muislamu? Dini hizi ni matunda ya ukoloni so usijidai muislamu kuliko Mtume. Kumbuka wew ni Mtanzania na future yako italetwa na uongozi bora na sio dini ya kiogozi wako.
UMEIZALILISHA DINI YAKO, ACHA UDINI. USIJIFUNGE NA UDINI, CHAMBUA MAMBO KISOMI (I believe u 1).
 
Mnamuonea tu kwa Sababu ni Muislaam.

Mbona hata JKN alikuwa akidanganywa na kuropoka na hamkusema?

Mnashambulia sana Viongozi Waislaam, Wagalatia nyie!!!!

carelessness.jpg

Ndugu yangu kwanza mimi siamini katika dini za kigeni yaani Uislamu ama Ukristo; mimi niaamini katika dini za kienyeji wengine wanatuita sisi wapagani lakini tuna dini yaani ya kiasili. Mada iliyopo mbele yetu ni mada nzito sana inahusu mkuu wa nchi ama kudanganywa au kuamua kusitisha ujenzi huo akiwa anaelewa kuwa kilichokuwa kinajengwa pale ni kituo cha mabasi yaendayo kasi. Hapa hakuna udini ila hoja. Mimi binafsi siamini kama Rais alidanganywa ila anajua kabisa kwamba pale palikuwa panajengwa kituo cha mabasi na yeye alikuwa hapendi hilo. Kuna two schools of thought hapa: Tunaoamini kwamba Rais alikuwa akijua na wengine wanaoamini kwamba Rais amedanganywa. Hili suala limetuchanganya wengi, sasa ni wakati muafaka wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais kulitolea jambo hili ufafanuzi ili wananchi tuelewe Rais alikuwa anajua ama alidanganywa. Siamini kama hapa kuna swala la Wagalatia, Wakotintho, Wapagani ama Waislamu. Tujadili tukiwa tumefungua macho na kuona mbali tusijigubike gubigubi mablanketi na kujifukiza manukato ya UDINI.
 
Rais JK, inavyoonekana ni kama kadanganywa issue ya ujenzi jangwani, ambapo jana aliagiza ujenzi usimamishwe mara moja na kubomolewa... Leo ITV habari saa mbili usiku. Mafundi na wachina wanasema wanaendelea na ujenzi kituo cha mabus ya kwenda kasi, vituko tupu mwandishi ITV anashanga, nami nashanga ilikuwaje rais kasema pabomolewe aliakuwa ni kituo cha mabus kasi?

Washangaa nin wakat ulichagua CCM last term...! WA TZ WENGI WANALAUMU MAKOSA YAO... YA NYUMA
 
Mungu wangu, yani ubovu wa rais wetu unaufumbia macho kisa ni muislamu? Dini hizi ni matunda ya ukoloni so usijidai muislamu kuliko Mtume. Kumbuka wew ni Mtanzania na future yako italetwa na uongozi bora na sio dini ya kiogozi wako.
UMEIZALILISHA DINI YAKO, ACHA UDINI. USIJIFUNGE NA UDINI, CHAMBUA MAMBO KISOMI (I believe u 1).

SASA HAPO JK ....anachekelea nini>>>!!?? kutuuza au kuwauza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom