Open letter to all the men I loved before

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania...

Source: Nazjaz.

Masuali hayaruhusiwi kwenye hili sredi.. lol. We elewa tu kuwa pepo ya kitandani imesitishwa kwa sasa. Khaa!
pia vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Mwiba uliokwisha kuchoma ni vigumu kusau, ni waraka mzuri lakini sidhani kama utaweza kuenzi vilivyo
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.
 
Yap nimemsoma hapo sijui hii drama ya kuandika waraka kwa watu wote aliowahi
kuwatunuku utaishia hapo au kuna remix yake itakuja
 
hhahaaaaaa!!! "JF, where we dare to talk openly" kila la kheri kwenye pepo ya paradiso
 
na umepagawa na muyo cku umeteleza 2 nkikubinua,unaandika waraka mwingne kumweleza maneno haya haya ya leo,kwendeni kulee,nyie ni we2 na ni kama bus 2 akishuka,wanapanda.za mchana?

Hapo umenena,nasubiria cku nyingine ifike,uckie atasemaje....................................ashibaye hawazii njaa na mwenye njaa hujutia mabaki ya chakula aliyoyatupa jana....................................................
 
kumbuka waraka hauna mwisho-usije kuja tena hapa na waraka wa 2,au wa 3 n.k
haya mambo si ya kutoa judgement haraka haraka
 
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.

we bila shaka utakuwa mdigo mzigo unawaza ile kauli yenu ya ''mwanangu usiriche......''
 
Back
Top Bottom