Chapakazi JF-Expert Member Apr 19, 2009 2,874 310 May 28, 2010 #1 Just came across this. Nimeipenda kweli maana inanipa updated weekly activity za rais. Ivi bongo tunashindwa kitu kama hichi na watu wote wa IT? Procedure ni vipi kama ningependa kufanya kitu kama hichi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Just came across this. Nimeipenda kweli maana inanipa updated weekly activity za rais. Ivi bongo tunashindwa kitu kama hichi na watu wote wa IT? Procedure ni vipi kama ningependa kufanya kitu kama hichi?