Ooops! "Nyumba ndogo yangu imepata mimba!" Ushauri

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,320
17,822
15433_196599312185_164557967185_3653514_5955853_n.jpg

Wakulu ndo ujumbe nimeupata hapa hebu nishaurini nifanyeje in "COMPUTER TERMS" Only.

Nianze na viongozi wangu wakuu Asprin-ODM, St Roya Roy, King TEAMO, Mpwa FIDEL ACID, Kijana Finest, Bigirita na bila shaka upande wa kina binamu......hapa nifanyeje>

mawazo yangu nafikiria kubonyeza CTRL+ALT+DEL then TASK MANAGER kisha END TASK...

happy friday!:wink2:
 
Dah hi kali!! Binamu

Nenda kwenye details ujue when it happened then utajua cha kufanya.
 
click details mazee.... kama ni infii huwa tunasema kwa mwizi kaingia jambazi, ni mwendo wa timing tu mazee
 
Mkulu kwenye details si naweza kukuta ni kirusi kikainfect my comp mazima!?
 
Mpwa just click details kama alivyosema cousin Acid kama ni infii kwenye nyumba ya mwizi kaingia jambazi nafikiri uki search kwenye folders zitakuja options nyingi mimi naona ball possesion bado unaongoza 85% na upande wa infiii 25%
 
Dah hi kali!! Binamu

Nenda kwenye details ujue when it happened then utajua cha kufanya.

LOL Binamu details ni hatari sana naweza kukuta nimebambikiwa je...manake siku hizi kuna 'dhana ya uchakachuaji' according to MJ1
 
Duh kumbe computer..
Mi nilijua kiburudisho lol ngoja nibusti mambo
 
Zima power ukutani....is this equivalent to running??
 
Mkulu kwenye details si naweza kukuta ni kirusi kikainfect my comp mazima!?
Mkuu, kitendo tu cha ku-infii had ile pregnancy ikawa ndani, basi tena ujue virus atakuwemo tu

we checke details viruzi wakiwa wengi tutatumia karspesky
 
Mpwa just click details kama alivyosema cousin Acid kama ni infii kwenye nyumba ya mwizi kaingia jambazi nafikiri uki search kwenye folders zitakuja options nyingi mimi naona ball possesion bado unaongoza 85% na upande wa infiii 25%
cousin... umejumlishaje hiyo hesabu yako ya asilimia?? au ni aslimia na kumi??? hahahaaaaaaaaaaa
 
View attachment 14468

Wakulu ndo ujumbe nimeupata hapa hebu nishaurini nifanyeje in "COMPUTER TERMS" Only.

Nianze na viongozi wangu wakuu Asprin-ODM, St Roya Roy, King TEAMO, Mpwa FIDEL ACID, Kijana Finest, Bigirita na bila shaka upande wa kina binamu......hapa nifanyeje>

mawazo yangu nafikiria kubonyeza CTRL+ALT+DEL then TASK MANAGER kisha END TASK...

happy friday!:wink2:

Hang'over za jana zinakusumbua.... Reboot
 
cousin... umejumlishaje hiyo hesabu yako ya asilimia?? au ni aslimia na kumi??? hahahaaaaaaaaaaa

Ha Ha Ha Ha Cousin ila kuan plan B ya kutumia KARSPESKY kama ulivyosema nilikuwa nafikiria kumwambia kama vipi HAIFORMAT lakini nimeshtuka labda aende kwenye TOOLS halafu OPTIONS halafu sasa achague CLEAR YOUR RECENT HISTORY au REMOVE INDIVIDUAL COOKIES
 
Back
Top Bottom