Ooops naona mnakuja kasi wanaume Kunani tena.....

1.Michezo siyo kwa wanaume tu. In fact michezo ina faida ya kiafya.
2.Sijawahi kusikia wala kuona wacheza netball wanaume lakini netball pia ni mchezo. Rudia #1
3.Kuna big misconception bongo kwamba manurse ni wanawake. Ukienda sehemu kama Marekani utakuta wanaume manurse kibao. Chunguza hasa unesi una husisha nini.
4.Kuhudumia bar? You mean bartenders? Mbona wapo wengi tu. Sioni characteristics za kike kwenye kumserve mtu pombe.
5.Now kuchimba madini kivipi? Mwanamke kuchimba madini inamfanya awe na charecteristics za kiume????


Namba tano hiyo kuna wanawake wanachimba madini ???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom