Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 38
Na kweli naona fulsa sawa kwa wote hapa ..
Nyie subirini tu/watakapoanza kupeana vijembe, nimemchukuwa demu wako mie kwasababu huyawezi weye, kila kukicha wewe walea kitambi chako wewe wenzio twawalisha nyama ya ulimi siye...........
huna lolote bwana wewe walingia nguvu za MUYATI wewe, kila kukicha kwa waganga kufukuzia SUPER SHAFT.