Ooooops!! WANAWAKE??...aaaaah!

I know most guys don't want to be lowered from lover to friend, but sometimes it is better to sink a little in order to rise again. This is one of those times. You can start worming your way back into her heart by sending an email or card just saying you were thinking of her and hope things are going well. If you don't hear back from her in a week or so, give her a phone call and apologize for the things you did to hurt her and see if she will meet you for a little chat. Tell her that you will always be her best buddy and she can call on you anytime.

Take it slow and don't push. She still loves you and just needs time to realize it....
 
wanajamvi heshima na iwe nanyi nyooote...!!

Wanawake mh!! Mapenzi yananisumbua sana naitaji muongozo,muongozo kuhimili hali halisi ninayo ipitia,yalikua mapenzi haswaa baina yetu-istoria ni ndefu sana tulikotoka na mpenzi wangu.
Lakini kwa ufupi mapenzi yetu yamedumu zaidi ya miaka 3 sasa,uku mwaka mmoja na miezi kadha wa kazaa tukiwa tunaishi chini ya rufu moja,toka nitoke,atoke nitoke!!
Nilimzoea sana,zaidi ya wayao yote nampenda sana naisi siwezi simama peke yangu uko mbele ya safari...
Nimeachwa pasipo kuambiwa sababu...
Nasubili kuamka toka ndotoni lakini nakua najidanganya kwani naipitia hali alisi na wala siyo ndoto...
Naomba nasahaa zenu ndugu zangu tajimudu vipi kwa kipindi hiki.

Ulikuwa unajaribu kutunga shairi au?
 
Asilimia kubwa ya watu wote hupitia mambo haya, Kuacha na Kuachwa, ni jambo la kawaida sana. Inauma sana sanaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!,
Jaribu sana usikae peke yako, jaribu kuwa na jamaa mkipiga stori, yaani uwe bizi. Jizuie kumpigia simu,Sms . Jipe muda na mambo yatakuwa shwari baadaye. Huko ndio Kukuaaaaaaa!!!!!
 
Pole MIAMIA..............ndo maisha hayo; barabara zin kona na maisha nayo hupinda wakati mwingine! Ila hujajibu swali Hashy......mlikuwa na ndoa kati yenu?
 
pole sana....mtafute first lady humu jamvini ataku-comfort kipind hiki kigumu
 
aksanteeeni zaidi nduguz nyoote,ndoa ndugu ndio waz on process mwaka huu@masikini_jeuri
 
jamvini mu na mengi bora...na yooote yenu mawazo nawaaidi tayafanyia kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom