MIAMIA.
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 210
- 81
Wanajamvi heshima na iwe nanyi nyooote...!!
Wanawake mh!! mapenzi yananisumbua sana naitaji muongozo,muongozo kuhimili hali halisi ninayo ipitia,yalikua mapenzi haswaa baina yetu-istoria ni ndefu sana tulikotoka na mpenzi wangu.
Lakini kwa ufupi mapenzi yetu yamedumu zaidi ya miaka 3 sasa,uku mwaka mmoja na miezi kadha wa kazaa tukiwa tunaishi chini ya rufu moja,toka nitoke,atoke nitoke!!
Nilimzoea sana,zaidi ya wayao yote nampenda sana naisi siwezi simama peke yangu uko mbele ya safari...
NIMEACHWA pasipo kuambiwa sababu...
NASUBILI KUAMKA TOKA NDOTONI LAKINI NAKUA NAJIDANGANYA KWANI NAIPITIA HALI ALISI NA WALA SIYO NDOTO...
NAOMBA NASAHAA ZENU NDUGU ZANGU TAJIMUDU VIPI KWA KIPINDI HIKI.