Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
simdanganyi namwambia ukweli. Hujambo lakini?
Sijambo tu. Na wewe hujambo?
simdanganyi namwambia ukweli. Hujambo lakini?
Sijambo tu. Na wewe hujambo?
hahahahaha! Muone vile umedakia salamu ya mwenzio.
Mambo?
kwa yesu.
Wapi huko?
mbinguni kwa baba. Haleluya!
Ushawahi fika huko?
yap. Unataka nikupeleke?
Ndiyo..
kaoge twende.
kaoge twende.
Napita tu wala sijasoma hii.kaoge twende.
Umeenda wapi sasa wewe....nakusubiri hapa mimi.
Napita tu wala sijasoma hii.
badilisha hilo pensi nyanya lako usinitie aibu.
Mi sijakutia bana khaaaa!
sweety mbona kama ni wewe umemchokoza afu ukamuamuru akaoge muende,sasa kaoga unaleta masharti mengine.baby, nyani ngabu ananichokoza.
sweety mbona kama ni wewe umemchokoza afu ukamuamuru akaoge muende,sasa kaoga unaleta masharti mengine.