ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

hii ni platinum phrase, mwenye masikio na asikie, mwenye macho na ajionee... ogopa mwanaume anayeshinda nje usiku au hata bar halafu anarudi nyumbani sober, ni soooo sana mazee
huwa wanasema kuwa wanaume wengi ambao sio walevi wa pombe huwa wanakuwa walevi wa wanawake.sijui kuna kaukweli?
 
Hebu niambia huyo muhudumu mzuri kiasi gani mdau nimfuate nifike bei aje chawote.

hahahaha wewe Binamu yaani huyo sasa yuko Lupango anatakiwa atoe ushahidi ni baada ya mtuhumiwa kukimbia baada ya tukio
labda uje umdhamini
 
Hapo sasa tutaelewana.

Somo la kwanza:
UNAAMINI kuwa mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja? Unaruhusiwa kudesa kwa wanyama kama utalazimika kujifunza kupitia nature.

Wanyama wako tofauti wana akili za kinyama ndo maana wanageukana wao kwa wao. Kwa hiyo nyie wanaume niwafananishe na wanyama au???
 
Acha tu kiongozi shida inakua hapo!! mambo ya kujifariji hayo!

si ndio hapo? jaribio la kwamba miujiza ipo katika uhalisia wake na kwamba watu wanaweza kufanya miujiza..kashindwa Askofu Kakobe.....

Binamu mbona ulithema uko kwenye kwarezima ?????

yeahna aactualle FL1, hii ni wiki kuu kabisa ndo maana unaona anashuka mapwenti hommie wangu...anapiga kiblurey na kinoname apo kwa apo haijalishi
 
huwa wanasema kuwa wanaume wengi ambao sio walevi wa pombe huwa wanakuwa walevi wa wanawake.sijui kuna kaukweli?

Charity mie naona kama kuna ka ukweli ..ukimkuta si mrevi wa Pombe basi wanawake ..
la sivyo awe ameyatoa maisha yake kwa yesu
 
huwa wanasema kuwa wanaume wengi ambao sio walevi wa pombe huwa wanakuwa walevi wa wanawake.sijui kuna kaukweli?
hilo sio swali, ni jibu kamili tena ulipigie mstari na u-bold na kuweka italics mazee!!
 
huwa wanasema kuwa wanaume wengi ambao sio walevi wa pombe huwa wanakuwa walevi wa wanawake.sijui kuna kaukweli?

LOL shemeji...umeongea point sana hapo ila ungesema 'wanaume ambao sio wanywaji' wa pombe eeh shemeji!
 
Best hii siyo sababu kubwa ila tatizo letu wanaume tunapenda sana varieties, hata kama mkeo angekuridhisha bado utakuta wengine wanakwenda nje eti kisa ''ya wizi tamu'' jamani ni tamaa tu. Sasa huyu mwenzetu kakimbilia kwa barmaid? Jamani hivi kweli kwa wenzetu mliooa, kama mwenzio hakuridhishi, huwezi kumwambia kuwa ''bado'' hadi ukimbilie mtaani, na ukimwambia kwani atakuona mwenye tamaa au? Apumzike kwa amani!
TATIZO HAPA,NI KUMUACHA MPENZI WAKO MYUMBANI,KWANINI ABAKI HOME? SI NI MKEO?/MPENZI? FAIDA ZA KUMWACHA SHEMEJI HOME NI NYINGI KULIKO HASARA JARIBU UTAJIONEA MWENYEWE,. HAPA HAKUNA CHA YA WIZI TAMU AU NINI,TATIZO LIPO KICHWANI MWAKO.DADA MMOJA ALISEMA; '' wanaume mtamaliza mabucha nyama ni ileile''.
 
Kwa wale wasiojua tunamaanisha nini tukisema tunadumisha mila: HII HAPA

No matter were we get our appetites, we always eat at home.
ndo maana kwa eliza tutaendelea kwenda...........na home tunarudi tukiwa tumechangamka watoto wa mbuzi. THEN TUNAKULA HOME.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom