Oooh!! Sinta

Mtoto si riziki huyu alipata bwana Uganda sasa yupo Dar anaendekeza umaarufu ..hajui una mwisho!
 
duuhhh.. hawa ndo wadada wanaopenda fanya mapenzi gizani.. kwenye mwanga waweza kimbia... sasa kama paja liko hivyooo.. what about..!!!!!!!!!??????????
 
Asavali wewe kidogo umesifia ingawa kinafiki kama kawaida, umeponda minyama yake, hujui sie wanaume ndo tunapenda hayo manyama yake?
sina sababu za kumsifia kinafki...huyo demu hanifikii hata chembe...kama vipi ni pm tumeet uone level yangu...ni demu wako nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom