Oooh!! Sinta

Aisee, unajua nilikuwa najaribu kuchungulia kama ntaweza kuona ile kitu roho inapenda, kumbe ni picha tu! Mhhhhhhhhh jamani hivi enzi zile alikuwa mweupe kihivii au ndo mambo ya mapouuudaaaaaaaa na ma makeup!
 
Nature karudiana naye na wanatengeneza movie inayokwenda kwa jina la SITAKI DEMU! Tunaisubiri kwa hamu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom