OO TANU YAJENGA NCHI!!x2

JAPUONY

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
383
186
Oo TANU yajenga Nchi, Oo TANU yajenga nchi x2
Oo Nyerere ajenga Nchi, Oo Nyerere ajenga nchi x2
Oo Karume ajenga nchi, Oo Karume ajenga nchi x2 etc, etc...

1. Kwanza, umekumbuka nini katika wimbo huo?
2. Je, nani anafaa kuimbiwa wimbo huo kati ya Kikwete, Mkapa na Mwinyi?

Nyerere kwani nchiilijengwa kweli na TANU na watanzania. Wakati wa Mwinyi na Mkapa ujenzi wa nchi ulikuja kwa ajali tu, kama inavyotokea sasa kwani ujenzi wa kweli wa nchi ni vijijini ambako tangia nyerere ameondoka madarakani, sehemu nyingi zipo vilevile, lakini nyingi zaidi zimerudi nyuma zaidi. Maendeleo sio majengo marefu ya vioo ambayo mwnakijiji akisogelea sehemu ya mapokezi tu anaweza kuitwa mwizi. Maendeleo ni watu.
 
Nadhani bado Kikwete anafaa kumbukwa kwa kujenga inji yetu nayeye?au?
 
Kati ya marais woooooote, labda nitaweza kumimbia Mwinyi. Alijitahidi kuweka uchumi kwa kulimbikiza Gold BOT. na sio $ ambazo zaweza kuyumbishwa. Wakati wake ile gap baina ya haves na have nots ilikuwa lowest. Kila mwananchi alikuwa anajiamini kuwa atalala usingizi kwa usalama akijuwa kuwa kesho ana surplus ya kumkimu kwenye shida. Not now. Pesa haitoshi hata kama unapata mshahara 3Mil. Ndugu wana shida vijijini, na gap ile inazidi kupanuka. Kwa kweli TANU ilijenga nchi.

Tulisoma bure, Matibabu bure na kilichopatikana katika makusanyo ya serkali yalikuwa yanatumika ki halali. Hamna masafari yasio muhimu. Deligations zilikuwa hazizidi watu 5. Mikataba ya nchi ilikuwa ikifanywa nchini na sio mahotelini ulaya. Ooooooh ulikuwa ni wakati mzuri. Tunge endelea hivyo hivi sasa tungepiga hatuwa ya mbele zaidi. Oooooooh wapi wale wazalendo walio kuwa wanajali wananchi na sio matumbo yao na rafiki zao. Oooooooh Tanzania imeuzwa kwa Richmond, EPA, Migodi ........! Inatufaidisha vipi rasilimali za hii nchi yetu. Looooh! Wasomi ni wengi lakini hawana incentive za kutetea wanacho kipoteza.
 
Oo TANU yajenga Nchi, Oo TANU yajenga nchi x2
Oo Nyerere ajenga Nchi, Oo Nyerere ajenga nchi x2
Oo Karume ajenga nchi, Oo Karume ajenga nchi x2 etc, etc...

1. Kwanza, umekumbuka nini katika wimbo huo?
2. Je, nani anafaa kuimbiwa wimbo huo kati ya Kikwete, Mkapa na Mwinyi?

Nimekubali kukifuata chamaaa ----
Nimekubaliii kukifuata chamaaa ----nimekubali kukifuata chama
Sintarudiiiii --- Sintarudiiiiii

Hata wakinipaaa Mamilioniii hata wakinipa mamilioniiii X2
Sintarudiii ---- Sintarudiiiii....

Wakuu si mliapa mbona mantaka kuitosa CCM? au si nyie mliimba wimbo huu?
 
mchakachuzi???
 
Back
Top Bottom